Leo nimepita Daraja la Wami ghafla nikabubujikwa na machozi kumkumbuka Hayati Magufuli

Leo nimepita Daraja la Wami ghafla nikabubujikwa na machozi kumkumbuka Hayati Magufuli

Huyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu.

Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha.

Kitu kingine alinifurahisha Huyu Mzee ni kuwa na udhubutu wa kufanya kitu Hata Kama kwa wengine itaonekana haiwezekani.

Lakini kwakuwa sisi ni binadamu inatubidi kumshukuru MUNGU kwa kila jambo .

Haya ni maoni yangu kama independent sina mrengo wowote .
Mbona paragraph ya mwisho unajitetea?
 
Takataka wewe, hivi unafikri hicho chuma kkngekuq
Maendeleo kila Rais wa Tanzania amewahi kufanya kadri ya kipaumbele.

Kama wewe ni born after 1990 nitakuelewa kwa kuwa akina Mkapa wakifanya mambo ulikuwa unakula uji na kuvaa pampas. Na Mwinyi na Nyerere wakifanya makubwa pengine ulikuwa ni sperms tu kwenye pumbu za mtu fulani
Takataka wewe, hivi unafikri hicho chuma kingekuwapo ungekuwa unalia kuuzwa bandari? Hao wengine labda kwa ufisadi ndiyo waliweza!
 
Enzi za jiwe watu walivutiwa sana na hotuba zake, zilionesha uthabiti wa kiongozi wa taifa.
Alikuwa na uwezo wa kutafuta ufumbuzi wa matatizo haraka na ikiwezekana pale pale ( jukwaani)

Alipenda sana Sifa hivyo ilimbidi akamilishe miradi kwa Kasi sana Ili aendelee kuaminiwa na kuonekana anamudu kazi yake ( pia hii ni karama)

UDHAIFU: Hakuwa mwanasiasa aliyemudu kukosolewa hadharani. Alitamani aachwe atimize makusudio yake bila kusumbuliwa ama kukosolewa.

MWISHO: JPM atabaki kukumbukwa kwa mazuri kuliko mabaya, hata waliomchukia wengi ( ukiacha wanufaika wa UDHAIFU wa Mama) wameanza kukiri hadharani mazuri ya mzilankende.
 
Huyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu.

Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha.

Kitu kingine alinifurahisha Huyu Mzee ni kuwa na udhubutu wa kufanya kitu Hata Kama kwa wengine itaonekana haiwezekani.

Lakini kwakuwa sisi ni binadamu inatubidi kumshukuru MUNGU kwa kila jambo .

Haya ni maoni yangu kama independent sina mrengo wowote .
Ngoja waje chawa wa mama + ant_magufuri + chadema wataanza kukosoa uandishi wako MRENGO ❌ watasema MLENGO ✓ huu Uzi utatoka vumbi MUDA SI MREFU

R.I.P MZALENDO JPM ENDELEA KUPUMZIKA KWA AMANI.
 
Enzi za jiwe watu walivutiwa sana na hotuba zake, zilionesha uthabiti wa kiongozi wa taifa.
Alikuwa na uwezo wa kutafuta ufumbuzi wa matatizo haraka na ikiwezekana pale pale ( jukwaani)

Alipenda sana Sifa hivyo ilimbidi akamilishe miradi kwa Kasi sana Ili aendelee kuaminiwa na kuonekana anamudu kazi yake ( pia hii ni karama)

UDHAIFU: Hakuwa mwanasiasa aliyemudu kukosolewa hadharani. Alitamani aachwe atimize makusudio yake bila kusumbuliwa ama kukosolewa.

MWISHO: JPM atabaki kukumbuk kabisawa kwa mazuri kuliko mabaya, hata waliomchukia wengi ( ukiacha wanufaika wa UDHAIFU wa Mama) wameanza kukiri hadharani mazuri ya mzilankende.
Ni kweli kabisa naunga mkono hoja zako Ni ukweli halisi tutamkumbuka Tena kwa uzuri
 
Takataka wewe, hivi unafikri hicho chuma kkngekuq

Takataka wewe, hivi unafikri hicho chuma kingekuwapo ungekuwa unalia kuuzwa bandari? Hao wengine labda kwa ufisadi ndiyo waliweza!
Nani kakuambia Bandari imuzwa wewe mavi ya bata? Ni mabadiriko ya uemdeshaji tu lakini WAPUMBAVU mumekarirshwa maneno ya WANAHARAKATI uchwara tu nanyi mnaropoka pumba.

Mbona Kampuni za NMB, CRDB, TBL na TCC ziko chini ya wageni na zamani zilikuwa chini ya Serikali? Tuseme nazo zimeuzwa, je zimeindoka Tanzania?, Je unajuwa kodi kiasi gani na gawio Serikali inapata kutoka hayo makampuni?

Acheni mawazo mgando, muache Samia atuvushe
 
Mna machozi mengi nyie mliozaliwa kuwa watumwa wa watu,
Kazi yenu hapa duniania ni kutukuza wengine

Hamuamini kama mnaweza kuwa au kufanya kama wengine

.magu alifanya kitu gan extraordinary ambacho wengine hawezi fanya
Mkuu mliberali hapo umesema kitu. Magufuli hana maajabu yeyote wala hampiti Rais yeyote aliyetangulia katika kazi.

Anachowapita pekee ni UWONGO, uwizi wa mali ya umma na KUUA wakosoaji. Akina Kikwette, Mkapa, Mwinyi na Nyerere walifanya makubwa bila KUJISIFU wala kuua wakosoaji
 
Tuwekee picha yako basi Comrade ili tuone namna ulivyokuwa unabubujikwa na hayo machozi. Si unafahamu kuna watu humu jukwaani (nikowemo mimi), bila ya uthibitisho wa picha huwa hatuamini!!
Labda Nikuulize asili yako unatoka mkoa gani ?
 
Mbona paragraph ya mwisho unajitetea?
Hapana sio kujitetea , ni uhalisia kuna wafuasi wa vyama hao piga ua Hata kufanyike kosa gani hawezi kupinga chama chake na kuna wasio na chama ( independent) wao yoyote anaeleta sera nzuri za maendeleo na kutekeleza wanamuunga mkono .
 
Kuhamisha serikali dodoma,
Ujenzi wa Bwawa la kuzalisha umeme,
Ujenzi wa Treni ya mwendokasi,
Ujezi wa madaraja, wami na mengine
ni kielelezo cha mtu aliyekuwa imara,mtu asiyefuata siasa za maji taka za chama chake.

Viva JPM.
Na ndiyo maana kwenye kampeni yake ya uRais 2015 kauli mbiu ilikuwa Chagua Magufuli.

Tshirt na kofia zilichapwa M kubwa na mwenge kumaanisha Magufuli na si Ccm.

Na aliendelea kutawala kama mgombea binafsi hadi pale alipokuja kukoromewa na Mkapa kwenye mkutano wa maRais wastaafu.

Magufuli hakuwa na imani na Ccm ingawa cheo alikipata kwa mgongo wao.
 
Kifo Cha rais wetu mpendwa namba Moja kimetufanya tukapata mrithi ambaye si sahihi maana katurudisha nyuma kimaendeleo miaka thelathini 30 nyuma.
 
Unataka ulinganishe kama na mimi nastahili kububujikwa na machozi kama wewe nikipita kwenye hilo daraja, au!!
Watu kutoka tanga , Kilimanjaro , Arusha , manyara watanielewa
 
Huyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu.

Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha.

Kitu kingine alinifurahisha Huyu Mzee ni kuwa na udhubutu wa kufanya kitu Hata Kama kwa wengine itaonekana haiwezekani.

Lakini kwakuwa sisi ni binadamu inatubidi kumshukuru MUNGU kwa kila jambo .

Haya ni maoni yangu kama independent sina mrengo wowote .
Coincedene ya ajabu nilikuwa nalifikiria lile dara muda si mrefu, naingia jukwaani naona uzi wake
 
Huyu Mwamba alikuwa Mwamba kweli.

Ile wapi kuanzia Mwinyi, Nkapa wote walikuwa wanambwelambwela tu pale, John akasema lijengwe Daraja hapa hela ipo..

Akaenda Busisi pale Mwanza akawaimbia jenga Daraja hapa hela ipo.
 
Back
Top Bottom