Leo nimepita Daraja la Wami ghafla nikabubujikwa na machozi kumkumbuka Hayati Magufuli

Leo nimepita Daraja la Wami ghafla nikabubujikwa na machozi kumkumbuka Hayati Magufuli

Coincedene ya ajabu nilikuwa nalifikiria lile dara muda si mrefu, naingia jukwaani naona uzi wake
Mkuu ukipita usiku utasema ni USA au Europe au japan !
 
Pamoja na madhaifu yake ila Mwamba alikua anaplan za mbali sana na Tz, achana na hawa wanaouza rasilimali kuvimbisha mitumbo yao
 
Magu Ulikuwa jembe ,maendeleo yake yalikuwa kufanya Tanzania iwe kama Dubai .
 
Somi Mkuu mie jana nimepita Busisi, aisee pamenyooka si mchezo, zile MV Mza na wenzake muda si mrefu zitatafutiwa kazi ingine
 
Ngoja tukuletee beseni la kukinga huo m-bu bujiko wa michozi
 
Huyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu.

Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha.

Kitu kingine alinifurahisha Huyu Mzee ni kuwa na udhubutu wa kufanya kitu Hata Kama kwa wengine itaonekana haiwezekani.

Lakini kwakuwa sisi ni binadamu inatubidi kumshukuru MUNGU kwa kila jambo .

Haya ni maoni yangu kama independent sina mrengo wowote .
Ulilia kuwakumbuka ndugu zako waliokufa usitudange bwana
 
Back
Top Bottom