hilo ndio muhimu,Huyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu.
Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha.
Kitu kingine alinifurahisha Huyu Mzee ni kuwa na udhubutu wa kufanya kitu Hata Kama kwa wengine itaonekana haiwezekani.
Lakini kwakuwa sisi ni binadamu inatubidi kumshukuru MUNGU kwa kila jambo .
Haya ni maoni yangu kama independent Sina mrengo wowote .
mfyyyHuyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu.
Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha.
Kitu kingine alinifurahisha Huyu Mzee ni kuwa na udhubutu wa kufanya kitu Hata Kama kwa wengine itaonekana haiwezekani.
Lakini kwakuwa sisi ni binadamu inatubidi kumshukuru MUNGU kwa kila jambo .
Haya ni maoni yangu kama independent Sina mrengo wowote .
Kwenye mambo ya serious tuwe serious Kwenye mambo ya sports ndiyo tunaweza kuingiza mizaha!Haya mambo ya kububujikwa na machozi nilifikiri yanamtokea Lucas Mwashambwa peke yake eti!
Una machozi ya kuchezea wewe!Huyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu.
Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha.
Kitu kingine alinifurahisha Huyu Mzee ni kuwa na udhubutu wa kufanya kitu Hata Kama kwa wengine itaonekana haiwezekani.
Lakini kwakuwa sisi ni binadamu inatubidi kumshukuru MUNGU kwa kila jambo .
Haya ni maoni yangu kama independent sina mrengo wowote .
Sio rip classmate?R.i.P John....😥
Tuwekee picha yako basi Comrade ili tuone namna ulivyokuwa unabubujikwa na hayo machozi. Si unafahamu kuna watu humu jukwaani (nikowemo mimi), bila ya uthibitisho wa picha huwa hatuamini!!Kwenye mambo ya serious tuwe serious Kwenye mambo ya sports ndiyo tunaweza kuingiza mizaha!
Haya mambo ya kububujikwa na machozi nilifikiri yanamtokea Lucas Mwashambwa peke yake eti! Y
Yale mabilioni alificha nyumbani kwake ni ya Nini? Eti mzalendo!