Leo nimepita Daraja la Wami ghafla nikabubujikwa na machozi kumkumbuka Hayati Magufuli

Uongozi ni changamoto mno na mara nyingi unapotoka kwenye nafasi ndipo mambo yako mazuri ama mabaya yanaonekana na kusemwa. John Pombe Joseph Magufuli katika uongozi wake pamoja na mapungufu yake ya kibinadamu alithubutu kutaka kutufikisha mahali. Nikiri kusema hakupenda kuona jambo linakwama. Nakumbuka mh Kamwele alivyompa maneno makali pale daraja njia ya Morogoro Dodoma.
 
N
Hoja yako ni kweli ila miradi yake mingi ilifanyika kwa ustadi na viwango ambavyo watangulizi wake hawajawahi kufanya;angalia stand za mabasi, angalia kivuko cha sengerema, angalia barabara ,husiende mbali anza sinza na nyingine, angalia hospitali. Cha zaidi ni kwamba hiyo miradi ilifanyika concurrenltly na bila kusimama. Hakuna kiongozi aliyepita aliyeweza kufanya haya. Hata mama yetu anapitia mgongo wake kwa viporo vilivyobakia. Na yeye tunamshukuru kwani alikuwa na uwezo wa kupotezea. Ingawa Mh huyu Bwana alikuwa na vimanagement style vyake vingine tantanishi; wenye fedha zao bank waliipata, wenye bereau de change Arusha na mikoa mikubwa watasimulia Jeshi lilivyoajibadilisha na kuwa wanamgambo kamata fedha. Sitataja suala la watoto wenye waliopata ujauzito mashuleni.All in all he was one among the bravest leaders ever in Tanzania. Itachukua miongo mingi kupata kiongozi wa Kaliba yake.
 
Una nachozi kama ya kuku tu. Unatokwa machozi kijinga sana. Unamlilia Magufuli ambaye hata familia yake ilifurahi kuona hayupo duniani!! Mtu machozi hata ulipofiwa na babu yako hukulia halafu mnalilia hili bubwasha liuaji!!

Daraja imejengwa kwa kodi zetu wote yeye alikuwa ni msimamizi tu.
 
Duh! Hatari.
 
People used to remember me when I'm gone

In Magu the general Voice
 
Onyesha hayo machozi uliyokinga 🚮🚮🚮🚮🚮
 
Subiri waje watu waanze kukutukana wewe na Magufuli. watakutukana sana huwa hawapendi kusikia mambo kama haya kabisa.
 
Kenyewe kalisema, Najua mtanikumbuka lakini si kwa mabaya!
 
Sasa hii mitakataka yako haiwezi kusimamia? Tuache ujinga, Magufuli kwenye maendeleo alikuwa hana spare!
 
Lucas Mwanshambwa kapata mshirika katika zoezi lake endelevu la kububujisha machozi
 
Sasa hii mitakataka yako haiwezi kusimamia? Tuache ujinga, Magufuli kwenye maendeleo alikuwa hana spare!
Maendeleo kila Rais wa Tanzania amewahi kufanya kadri ya kipaumbele.

Kama wewe ni born after 1990 nitakuelewa kwa kuwa akina Mkapa wakifanya mambo ulikuwa unakula uji na kuvaa pampas. Na Mwinyi na Nyerere wakifanya makubwa pengine ulikuwa ni sperms tu kwenye pumbu za mtu fulani
 
Mna machozi mengi nyie mliozaliwa kuwa watumwa wa watu,
Kazi yenu hapa duniania ni kutukuza wengine

Hamuamini kama mnaweza kuwa au kufanya kama wengine

.magu alifanya kitu gan extraordinary ambacho wengine hawezi fanya
 
Tabia ya kububujikwa na machozi ni dalili ya USHOGA
 
Hata ww ukiwa Rais aukipewa lile kapu,ukaambiwa fanya a.b.c huwezi kushindwa kufanya.
Waliomtangulia kuna mambo walifanya na yeye kuna vitu amefanya,chochote unachokiana jua kuna wenzake pia walifanya.
 
Hakuna asiekuwa na mapungufu, ila aliinyoosha nchi kwa kiasi chake ingawa wengine hawakupenda hayo bali walitaka matabaka mawili tu na yeye alihakikisha wote wanagawana

Hela zipigwe lakini alionyesha kuwa inawezekana Tz kuwa giant
Hakuogopa na hilo limemkosti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…