hivi Niko tz ndani ndani huko na nilipata ajali ya Boda Boda kama unavyodai kubwa kuliko nilikua na Malaya tunaenda gesti tulitupwa mtaroni akaumia nyonga.
Hapo umeinjoi eh?
Pole sana,tuombe Mungu kila wakati,leo nimeshuhudia ajali mbaya sana maeneo ya Bunju,Boda kagongwa na Lorry mende la kokoto,amekatika vipande viwili,miguu kivyake kiwiliwili kivyake,dah yani binadamu jamani amekufa kama kuku,yani ilibaki kidogo nimkanyage na gari,nimehuzunika sana...