Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Omba msamaha kwa afande.....wakati binti Yombo anabakwa na kulawitiwa....wimbo huo ulikuwa hewani chumbani........kwa hiyo huyo dada kautaka anatakiwa apelekewe moto.....wimboBiharusi mtarajiwa: Money Penny njoo
Money penny: nimefika mama nini mbaya
Biharusi mtarajiwa: nimetambulishwa leo kwa mashemeji zangu wa kiume kwa mara ya kwanza
Money penny: enhe
Biharusi mtarajiwa: baada ya utambulisho wakaanza kupiga makofi, wakaanza kuimba
"Uyo mtotooooooo, uyo mtotoooooo"
Shemeji no 1: mtoto kautaaa
Mtoto kautaaa
Shemeji no 2: mtoto kautaka mtoto kautaka
Sasa sijaelewa huu wimbo una maana gani maana me sisiskilizagi bongo movie,
Wimbo una maana gani? Nimemwuliza mchumbaangu anacheka
Haya jamani, mtoto wa 2004l2 anauliza mtoto kautaaaa, manake nini?
Omba msamaha kwa afande.....wakati binti Yombo anabakwa na kulawitiwa....wimbo huo ulikuwa hewani chumbani........kwa hiyo huyo dada kautaka anatakiwa apelekewe moto.....wimbo
....trending tu
Kwani anaolewa kwa sababu ya niniBiharusi mtarajiwa: Money Penny njoo
Money penny: nimefika mama nini mbaya
Biharusi mtarajiwa: nimetambulishwa leo kwa mashemeji zangu wa kiume kwa mara ya kwanza
Money penny: enhe
Biharusi mtarajiwa: baada ya utambulisho wakaanza kupiga makofi, wakaanza kuimba
"Uyo mtotooooooo, uyo mtotoooooo"
Shemeji no 1: mtoto kautaaa
Mtoto kautaaa
Shemeji no 2: mtoto kautaka mtoto kautaka
Sasa sijaelewa huu wimbo una maana gani maana me sisiskilizagi bongo movie,
Wimbo una maana gani? Nimemwuliza mchumbaangu anacheka
Haya jamani, mtoto wa 2004l2 anauliza mtoto kautaaaa, manake nini?
Sijui kwakweliKwani anaolewa kwa sababu ya nini
Nimekublock umeona?Hiyo harusi au ??? 🤔🤔🤔
Kwanini?Beba chupa ya maji.....
Beba tu utakunywa ukipata kiu.....maji ni uhaiKwanini?
Umeni block kiaje yaani ????Nimekublock umeona?
Tafuta wombo wa jaivah striker unaitwa kautaka ukiusikiliza utaelewaSijui kwakweli
Beba tu utakunywa ukipata kiu.....maji ni uhai
Umeni block kiaje yaani ????
SawaTafuta wombo wa jaivah striker unaitwa kautaka ukiusikiliza utaelewa
Ajiandae kuliwaaassss hahaha ni trending wimbo tuuuuKwahiyo unasemaje?
Akae au akimbie?
Doh wahuni mmenishinda tabia
Hahahaaaaa... haya mambo hata mimi sielewi. Ni mageni kabisaBiharusi mtarajiwa: Money Penny njoo
Money penny: nimefika mama nini mbaya
Biharusi mtarajiwa: nimetambulishwa leo kwa mashemeji zangu wa kiume kwa mara ya kwanza
Money penny: enhe
Biharusi mtarajiwa: baada ya utambulisho wakaanza kupiga makofi, wakaanza kuimba
"Uyo mtotooooooo, uyo mtotoooooo"
Shemeji no 1: mtoto kautaaa
Mtoto kautaaa
Shemeji no 2: mtoto kautaka mtoto kautaka
Sasa sijaelewa huu wimbo una maana gani maana me sisiskilizagi bongo movie,
Wimbo una maana gani? Nimemwuliza mchumbaangu anacheka
Haya jamani, mtoto wa 2004l2 anauliza mtoto kautaaaa, manake nini?
UweeAjiandae kuliwaaassss hahaha ni trending wimbo tuuuu