Leo nimetimiza miaka 15 ndani ya JF


Shikamoo Broo.

Kongole sana
 
Hongera legend, 15 yrs si haba. Kipindi unajiunga ni members gani walikuwa machachari jukwaani na je unailinganishaje jf ya kipindi hicho na sasa?
Walikuepo akina Mtambuzi Malaria Sugu huyu alikua mkorofi sana (CCM) na jeuri nadhani alipigwa network ban, zumbemkuu MANI Regia Mtema (R.I.P) Mohamedi Mtoi (R.I.P) na wengine wengi. Tulikua kama ndugu. Members wengi hapo tulifahamiana baadae, Mpwa Mentor alivuma na shairi lake la Inside Verossa kiasi kwamba lilipostiwa kwenye platforms nyingine nyingi.

Topics zilikua very hot, 🔥 hakukua na utoto sana ukilinganisha na sasa. Miaka ile JF ilionekana ya watu Fulani ambao upstairs walikua "vizuri". JF ilikua kama think tank ya TAIFA.

Machache kwa sasa
 
old is gold. those days won't come back
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…