BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
After party itafanyika wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa hapa NamtumboAfter party itafanyika wapi?
Hongera sana sana KamandaHongera sana kwako. Mimi ningekuwa natimiza miaka 10 mwaka huu! Sasa kwa bahati nzuri nimebadili ID mara mbili.
Halafu hatunaga stress kabisaHongera sana mkongwe! ..Tuliojiunga JF miaka 15 iliyopita tupo, tunadunda bado. 😁
Amen barikiwa MpwaHongera sana mkuu, Mungu aendelee kukupa uhai na afya ili tuweze kuendelea kujumuika pamoja
Nipo hapa Kaka La-Liga Dodoma, karibu sanaAfter party itafanyika wapi?
Saafi sanaMiaka minne ijayo ndio nitafika huko, ban nilipigwa mara moja ya 24hrs
Duh..Hapa hapa Namtumbo
🏃🏃Duh..
Hana tabia mbayaBe honest, umeshachakata papuchi ngapi humu ndani?
Mimi 2027 nitakuwa na miaka 10
Mungu aendelee kukulinda dhidi ya wachawi wa upande wa piliNamshukuru Mungu aiseee, nimekua hapa kwa miaka 15 sasa, wengi tulioanza nao wametangulia mbele za haki na wengine wamebadli ID. Ni jambo jema sana kwangu. Ni siku pia yenye matukio mengine makubwa ya kibinafsi.
Asanteni kwa Marafiki wapya na connections za kutosha. Long Live JF.
Kama una jambo ungependa kuuliza, karibu.
Mkuu kweli unaishi Dodoma bora kwetu Namtumbo sio Dodoma kwenye maji chumvi.Nipo hapa Kaka La-Liga Dodoma, karibu sana
Namshukuru Mungu aiseee, nimekua hapa kwa miaka 15 sasa, wengi tulioanza nao wametangulia mbele za haki na wengine wamebadli ID. Ni jambo jema sana kwangu. Ni siku pia yenye matukio mengine makubwa ya kibinafsi.
Asanteni kwa Marafiki wapya na connections za kutosha. Long Live JF.
Kama una jambo ungependa kuuliza, karibu.