Leo nimetimiza miaka 15 ndani ya JF

Leo nimetimiza miaka 15 ndani ya JF

Namshukuru Mungu aiseee, nimekua hapa kwa miaka 15 sasa, wengi tulioanza nao wametangulia mbele za haki na wengine wamebadli ID. Ni jambo jema sana kwangu. Ni siku pia yenye matukio mengine makubwa ya kibinafsi.

Asanteni kwa Marafiki wapya na connections za kutosha. Long Live JF.

Kama una jambo ungependa kuuliza, karibu.
Kongole mkuu, mimi nimefikisha robo tatu yako
 
Amani ikufikie na uongezewe miaka bwerere Jamvini na Uraiani.

Miaka 15 ni miaka mingi JF lazima una chumvi za kutosha.
 
Back
Top Bottom