Leo nimetimiza miaka 30, sijawahi miliki hata Godoro

Leo nimetimiza miaka 30, sijawahi miliki hata Godoro

Usikate tamaa kabisa.. kosa la kwanza kufanya ni kukata tamaa, kujilaumu unaruhusiwa ili nafasi ipate changamoto, ila sio kukata tamaa..
 
Baada ya kutimiza huu umri nimejikuta natamka maneno magumu sana education is a lottery ticket not a safe investment.

Nimetafuta kazi nimekosa, nimefanya biashara nimefilisika.

So nilichobakiza ni kuwalamba wana mizinga ya ten tu ili niishi.
Lazima kutakuwa na makosa somewhere. Mfano, kuchagua sana kazi au kutoku-apply kazi zinasomeka nje ya fani yako (position) lakini zinazohitaji elimu yako.

Hiyo tabia ya kupiga mizinga wenzio ndio na wao unawaweka kwenye risk ya kuwa kama wewe.
 
Baada ya kutimiza huu umri nimejikuta natamka maneno magumu sana education is a lottery ticket not a safe investment.

Nimetafuta kazi nimekosa, nimefanya biashara nimefilisika.

So nilichobakiza ni kuwalamba wana mizinga ya ten tu ili niishi.
Everything in order, Everything is connected. Mafanikio ni process whether you like it or not. So try at your best and God will do the rest.
 
Mleta mada kila mtu anakupa comment ya kukupa faraja na kukutia moyo ila kama ungeleta thd kua maisha umeyapatia na unamiliki magari ya kifahari na maisha ni mazuri basi wangekuponda na kukuona wewe ni muongo umepigika tu,

Hii ndio JF.
[emoji3][emoji3]

Bill Lugano (aka Kiduku Lilo) aliwahi kusema hapa, watu tumezoea shida hadi zimekuwa sehemu yetu... ukisema umelala njaa umepigika huna kitu watu chaap watakupa pole na kukutumia chochote kitu bila hata kuhoji uthibitisho.

Sababu wanaamini katika NJAA, wengine wanakusaidia huku wakifurahi kuona una shida kuliko wao.

Lakini ukileta uzi kuwa una HELA nyingi na umeyapatia MAISHA, hakuna mtu atakuamini... utazodolewa na kuhojiwa ulete ushahidi.

Wengine watasema unajivuna na kuwatambia, ni kwa sababu tu hawaamini katika kusikia mambo mema kwa watu.
 
Baada ya kutimiza huu umri nimejikuta natamka maneno magumu sana education is a lottery ticket not a safe investment.

Nimetafuta kazi nimekosa, nimefanya biashara nimefilisika.

So nilichobakiza ni kuwalamba wana mizinga ya ten tu ili niishi.
Kwanini usijibane hizo hela unazowapa hao wana mizinga ili ununue hilo Godoro,na vitu vingine?kaa ukijua kuwa maisha hayajawahi kuwa rahisi hivyo unavyowazia,hizo ten unazohonga ni hela ungeweza kufanyia mambo mengine ya maana na ukafanikiwa...,...
 
Baada ya kutimiza huu umri nimejikuta natamka maneno magumu sana education is a lottery ticket not a safe investment.

Nimetafuta kazi nimekosa, nimefanya biashara nimefilisika.

So nilichobakiza ni kuwalamba wana mizinga ya ten tu ili niishi.
njoo hapa bariadi kuna mgodi unaitwa dutwa hutakosa cha kufanya
 
Back
Top Bottom