sikupingi may be kuna makosa mahala, cha msingi ni kutafuta solution.Lazima kutakuwa na makosa somewhere. Mfano, kuchagua sana kazi au kutoku-apply kazi zinasomeka nje ya fani yako (position) lakini zinazohitaji elimu yako.
Hiyo tabia ya kupiga mizinga wenzio ndio na wao unawaweka kwenye risk ya kuwa kama wewe.
yah inawezekana i read somewhere Sometimes you have to give up. Sometimes knowing when to give up, when to try something else, is genius. Giving up doesnβt mean stoppingThere is a time, the only option left is to give up
Umesema umesoma had chuo [emoji115]
sina shemeji mkuu.Kwa hiyo mkuu poropesa bado uko kwa shemeji yako?
inawezekana ardhi la darisalade imenigomea kabisa.I do understand the situation. I know what you are going through.
Mkuu, chini ya jua ni marufuku kukata tamaa.
After a dark night, there is a bright day.
Just Keep ya head up, and reshuffle your strategies on battle ground. Ikiwezekana change the place, hamia Mkoa mwingine kaanze upya. Sometimes ardhi huwa inamkataa mtu.
Academic certificates ni makaratasi tu. Wapo wengi sana vyeti havikuwasaidia chochote, wakatupa vyeti uvunguni wakajichanganya mtaani na kutoboa.
-Kaveli-
π€£π€£π€£ sawa usijal siku moja mambo yatakaa sawa endelea kupambana hadi pumzi ya mwishomimi sio mnyonge chief, wanyonge wapo. mda umegoma kunibariki.
Umesomea kitu gani?nipo dar mkuu,game inakuwa ngumu nawish sometimes mpira urudi kwa kipa.
Moyo tayari anao. Au huo alio nao hautoshi kusukuma damu?Jipe moyo
Ndo watanzania hao[emoji848]Mleta mada kila mtu anakupa comment ya kukupa faraja na kukutia moyo ila kama ungeleta thd kua maisha umeyapatia na unamiliki magari ya kifahari na maisha ni mazuri basi wangekuponda na kukuona wewe ni muongo umepigika tu,
Hii ndio JF.
[emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora hata wewe mtaani kuna dogo anatimba 31 mama yake anamlea kama jicho hataki hata atoke kwenda kutafuta hela.
Mbona kidukulilo watu uwa tunampa sapoti ya kutosha,tena mara nyingine akipotea jf uwa tunamtafuta kabisa aje 1.2.3 za bata lakeMleta mada kila mtu anakupa comment ya kukupa faraja na kukutia moyo ila kama ungeleta thd kua maisha umeyapatia na unamiliki magari ya kifahari na maisha ni mazuri basi wangekuponda na kukuona wewe ni muongo umepigika tu,
Hii ndio JF.
ππ