Ahahaha nipe nambaAsante Kwa ofa ulionipa ya kukutafuna
🤣🤣🤣
Kama unataka ufikishe miaka 100 ya kuishi fanya hivyoDuuuuh ushauri ngumu huu
Hongera kaka, enjoy ur day na familia pia !Niliambiwa na wazazi wangu kuwa nilizaliwa April 30, 1991
Na Leo nimetimiza miaka 35
Mimi ni mme na baba, Nina watoto 2
Ni mfanyabiashara wa nafaka, mkulima na mfugaji
Nitakie heri na nishauri chochote