Achana kushindana GENTAMYCINE jamviniNiliambiwa na wazazi wangu kuwa nilizaliwa April 30, 1991
Na Leo nimetimiza miaka 35
Mimi ni mme na baba, Nina watoto 2
Ni mfanyabiashara wa nafaka, mkulima na mfugaji
Nitakie heri na nishauri chochote
Aiseeee wengine muwe mnatusalimia...Niliambiwa na wazazi wangu kuwa nilizaliwa April 30, 1991
Na Leo nimetimiza miaka 35
Mimi ni mme na baba, Nina watoto 2
Ni mfanyabiashara wa nafaka, mkulima na mfugaji
Nitakie heri na nishauri chochote
Ushauri wa kiAtheist huo , hata akitaka kuwa Shoga ni blessings ?Hbd & long life
Ushauri.
Everything is blessing in this life don't say God forbid.
🤣🤣Popoma ni rafiki yanguAchana kushindana GENTAMYCINE jamvini
pesa ya biashara usiiguse ione kama🔥🔥🤣🤣🤣 Got you mkuu
Heri yako unasheherekea birthday, birthday sio ya kusheherekea ni ya kusikitika, maana miaka inavozidi kuongezeka ndivyo umri wa kuishi unapunguaNiliambiwa na wazazi wangu kuwa nilizaliwa April 30, 1991
Na Leo nimetimiza miaka 35
Mimi ni mme na baba, Nina watoto 2
Ni mfanyabiashara wa nafaka, mkulima na mfugaji
Nitakie heri na nishauri chochote