Leo nimetimiza umri wa miaka 35, nishauri chochote

Leo nimetimiza umri wa miaka 35, nishauri chochote

Hio njia iliokufikisha hapo endelea nayo hiohio tena kwa ugonvi mkubwa.

Tupe nondo pia wadogo zako ambao Bado hatijafika age hio.
 
mm sijakuelewa.
amechelewa? Amewahi? Watoto wachache? Au watoto wengi? Au kumiliki biashara na ufugaji kwa age hiyo?.

Nn hasa unahisi hakiko sawa.
Kwa unyenyekevu Naomba tujibu tafadhali Stroke
Hakuna mbongo by the age ya 35 ameacomplish vitu vyote hivyo.

Mifumo yetu inahitaji nguvu za ziada kutoboa.

35 ni mtoto mdogo sana ,

Huyo dogo kapiga bangi yake anatusumbua tu hapa.
 
😂😂😂😂😂
Samahan kwa kukucheka bro.
Ila kabla ya kukujibu.

ww unakaa wap?.
Hapa mistake kunishika masikio sitakubali.

Chuo wabongo wengi wanamaliza 27.

Kazi anapata 34 ;

Hiyo mke watoto biashara na ufugaji vinakujaje by 35;

Atoe uongo wake hapa.
 
Back
Top Bottom