Leo nimetimiza umri wa miaka 35, nishauri chochote

Leo nimetimiza umri wa miaka 35, nishauri chochote

Wanawake kwenye ndoa/ mahusiano ni watu wema sana usipowakosea 🥰🥰

Na ni kitu kidogo tu.
Sema wanaume weng wanazingua.

Mpenz au mke wako muheshimu, timiza mahitaj ya familia. Mpe mahitaj yake ya kimwili.
Onyesha upendo kwake na familia yake na yako.

Na hata ukiwa na mwanamke wa nje. Hakikisha hajui. Na mwanamke wa nje aheshim nafas yake.

Kuna code nying vijana hawajui.
 
Wewe ni muongo ndugu;

Haya uliyoandika hapa ni ndoto tu ;

Endelea kujiliwaza.
Uongo Gani Sasa wewe tutusa.
Kwamba Sina mke na watoto wawili?
Kwamba sifanyi biashara yoyote?
Kwamba Sina mashamba na mifugo?

Ndo maana nakwambia wewe ni tutusa
Kuna madogo wana miaka 23 wana mkwanja.

Upo CCM hapo unalamba makwapa ya watu.
Uliza Makonda akiwa na miaka 35 alikuwa na utajiri kiasi Gani?

Wewe kumiliki akili ni ngumu.
Yaani vitu basic vya mwanaume kuwa navyo we unaona haiwezekani
 
Uongo Gani Sasa wewe tutusa.
Kwamba Sina mke na watoto wawili?
Kwamba sifanyi biashara yoyote?
Kwamba Sina mashamba na mifugo?

Ndo maana nakwambia wewe ni tutusa
Kuna madogo wana miaka 23 wana mkwanja.

Upo CCM hapo unalamba makwapa ya watu.
Uliza Makonda akiwa na miaka 35 alikuwa na utajiri kiasi Gani?

Wewe kumiliki akili ni ngumu.
Yaani vitu basic vya mwanaume kuwa navyo we unaona haiwezekani
Angalia sasa ulivyo mjinga ;

Mpaka unamtaja makonda
 
Ishi sana 3rd floor umeshafika kati uzee huo unakaribia hakikisha unafikisha 40s ukiwa stable
 
Back
Top Bottom