Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Hata kama mke ana cheat?Birthday Blessings.. mpende mkeo, na watoto wako.
35 ni Fainali yako ni Muda wa kutenda mambo muhimu ukizubaa miaka 5 mbele una 40. Game over! Usitarajie kuanza kujijenga ukiwa na miaka 40 kuendelea. Labda kama kuna vya urithi.Bado tu ni vijana wadogo
Mkuu, sidhani wote wameanzia 0Hakuna mbongo by the age ya 35 ameacomplish vitu vyote hivyo.
Mifumo yetu inahitaji nguvu za ziada kutoboa.
35 ni mtoto mdogo sana ,
Huyo dogo kapiga bangi yake anatusumbua tu hapa.
Hapa mistake kunishika masikio sitakubali.
Chuo wabongo wengi wanamaliza 27.
Kazi anapata 34 ;
Hiyo mke watoto biashara na ufugaji vinakujaje by 35;
Atoe uongo wake hapa.
Ambao wanaanzia mahali huwa hawana muda wa kuja kupost mafanikio yao JF mkuu,Mkuu, sidhani wote wameanzia 0
Kubaki Kuna wengine wameanza maisha wakiwa na la kushika tayari
Hamna lolote hapa ni ganja tu mnatusumbua nayo.
Ndio maana hata mada yenyewe ipo chit chat watu wacheke tu ilimradi muda uende.Nakuheshimu bro.
Ila unajidhalilisha.
Hebu relax.
Umri wangu wewe hautakusaidia lolote ila kaa ukijua hii ni stori tu ili tucheke basi siku ipiteWw una miaka mingap?.
Ganja haina shida mkuu la muhimu usichome kibanda kutengeneza kesho yako ndio maana ya maishaHamna lolote hapa ni ganja tu mnatusumbua nayo.
Inategemea nani anaitumia huyu haiwezi.Ganja haina shida mkuu la muhimu usichome kibanda kutengeneza kesho yako ndio maana ya maisha
Hahahaaaaa, nenda geita ukashangae kijana ana 27, ana miliki gari crown ana nyumba ya zaidi ya milioni 150 thamani, ana maduka matatu, benki kumedamshi, muwe mnatembea nje huko muone vijana walio amua kuishi nje ya dar wanavo make pesaMkuu unatudanganya.
Mbongo by 35 uwe na mke watoto wawili biashara na ufugaji??
Geraaaurihia.
Kaka unakabia juu sana punguza kupressTafuta sana hela maisha ni katili lama huna kitu mfukoni
😀😀😀Kaka unakabia juu sana punguza kupress
Huyo ni mshirikinaHahahaaaaa, nenda geita ukashangae kijana ana 27, ana miliki gari crown ana nyumba ya zaidi ya milioni 150 thamani, ana maduka matatu, benki kumedamshi, muwe mnatembea nje huko muone vijana walio amua kuishi nje ya dar wanavo make pesa
Nimeona wenye mali kwa umri mdogo ila hawana familia.