Leo nimetimiza umri wa miaka 35, nishauri chochote

Leo nimetimiza umri wa miaka 35, nishauri chochote

Na ni kitu kidogo tu.
Sema wanaume weng wanazingua.

Mpenz au mke wako muheshimu, timiza mahitaj ya familia. Mpe mahitaj yake ya kimwili.
Onyesha upendo kwake na familia yake na yako.

Na hata ukiwa na mwanamke wa nje. Hakikisha hajui. Na mwanamke wa nje aheshim nafas yake.

Kuna code nying vijana hawajui.
Umeenda vzuri sana ❤️🔥🌸

Ila hapo ukaanza kuyumba.. hamuwezi kukaa na mtu mmoja? Lazima mcheat?
 
Mkuu ngara23 kaka red black nilimpa kazi ya kunipromote niwe expert member nashukuru kwa maoni yake leo tena nimekuja hapa kuomba msaada wa jinsi ya kupost thread yangu mwenyewe cocastic,redblack,secretarybird,min me njoeni mwenyewe
🤣🤣🤣
 
Niliambiwa na wazazi wangu kuwa nilizaliwa April 30, 1991

Na Leo nimetimiza miaka 35

Mimi ni mme na baba, Nina watoto 2

Ni mfanyabiashara wa nafaka, mkulima na mfugaji

Nitakie heri na nishauri chochote
Kwahiyo lile biti unalonichimbaga wewe komandoo wa bakabaka kumbe miyayusho besidei boi 😹😹😹

JF ina vituko vingi sana..!!

Nwei, happy birthday Ngara miaka mingi kwako. Uache uongo sasa ushakua soon utapokea posa kwa watoto wako..!!
 
Natafuta mshangazi kuhusu pesa shida haipo
 
Hepi bathdei tu yuu Bradha ngara23
Jitahidi kula chakula kizuri, punguza vyakula vya mafuta, punguza matumizi ya sukari ya miwa na chumvi ya mezani, usivute sigara, usinywe pombe, punguza matumizi ya nyama nyekundu.
Kubwa kuliko vyote    Fanya Mazoezi sana ili kuongeza siku za kuona jua.
 
Asante sana Mkuu
 
Back
Top Bottom