Leo nimetimiza umri wa miaka 35, nishauri chochote

Leo nimetimiza umri wa miaka 35, nishauri chochote

Nilipokuwa mdogo Baba yangu alikuwa akiniambia mara Kwa mara kuwa "Hata Mimi nlikuwa kama wewe"....Nilikuja kujua miaka mingi Sana baadae kuwa alimaanisha nini...Hakikisha ukifa usiache sifuri, lazima ukifa uwe umeacha alama.
Hakika kuacha legacy muhimu sana
 
Heri yako unasheherekea birthday, birthday sio ya kusheherekea ni ya kusikitika, maana miaka inavozidi kuongezeka ndivyo umri wa kuishi unapungua
Pia ni siku ya kutafakari umepiga hatua Gani ya kimaisha na unaenda wapi umefanya nini na una nini
Furahia kila kitu
Utoto, ujana, uzee n. K
Kila maisha ni neema
 
Ushauri wa kiAtheist huo , hata akitaka kuwa Shoga ni blessings ?
Kwann umefikiria ushoga

Muamini Mungu but usiwe MTU ambaye unatawalia na hisia za dini pekee

Everything is blessing inamaanisha hakuna Jambo baya hapa duniani Kila kitu kinatokea for a reason

This is JF

Hili wazo la kuanzishwa JF llilitokana na kuminywa kwa taarifa kwa walaji

Kwahiyo Melo na wenzake wakachukua changamoto into opportunity.

So think and rethink
 
Hbd mkuu.
Kisukari, pressure, nk, kwa kiasi kikubwa huepukwa au kukaribishwa kutokana na machaguo ya vyakula, vinywaji na mazoezi, na elimu za hayo zipo tele mitandaoni
 
Hbd mkuu.
Kisukari, pressure, nk, kwa kiasi kikubwa huepukwa au kukaribishwa kutokana na machaguo ya vyakula, vinywaji na mazoezi, na elimu za hayo zipo tele mitandaoni
Hayo mambo hayana formula
Yakiamua kuja yanakuja tu
 
Fanya mazoezi, kula chakula chenye afya, fanya check up ya mara kwa mara, achana na sigara, shisha, pombe kali na mademu

Wekeza, nunua assets, fanya saving, ishi na watu vizuri

Kila hatua dua
 
Heri ya kuzaliwa mkuu,
Pamoja na kwamba umepata ushauri mzuri sana mkuu, bado tunaendelea kukupa nakoz ili ukae mkao wa kula.
1. Ipende familia yako, watoto wako na mke wako. Hao ndio watu wa karibu zaidi hapa duniani.
2. Wape watoto makuzi bora na elimu bora.
3. Endelea kutafuta pesa, kwa hicho unachofanya, mkuu tafuta pesa. Hii dunia bila pesa "utaonekana" usiye na thamani.
4. Wekeza kwa ajili ya uzee wako, miaka 20-30 ijayo wewe utakuwa mzee, wekeza kwa ajili ya uzee wako.

Heri ya kumbukizi ya kuzaliwa kwako!
 
Asante sana Mkuu
Ushauri mzuri mno
 
Back
Top Bottom