Leo nimetongozwa na binti mdogo tu, imenikumbusha sana ujana wangu

Na hii itakuwa utani tu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa
Kwa Hiyo mtu akisema nakupenda tayari ni mtongozo
 
We nomaa!
 
Habari yako dear, Tafadhali naomba utupigie kura ili tuweze kushinda Tuzo za Tanzania Film Festival Awards.
Jinsi ya kupiga kura unabonyeza link TAFFA2023 kisha unachagua kipengele au categories ya Best actress - chagua CHRISTINA MRONI kisha bonyeza vote utakuwa umepiga kura.

Ingia tena kwenye link Taffa.info Chagua tena kipengele au categories ya Feature film chagua FUMBUO au MRONI TWINS bonyeza neno vote itakuwa chini utakuwa umepiga kura

Ingia tena kwenye link Taffa.info Chagua tena kipengele au categories ya best culture film chagua FUMBUO au MRONI TWINS kisha onyesha neno vote litakuwa Hapo chini utakuwa umepiga kura

Ingia tena kwenye link Taffa.info Chagua kipengele au categories ya Best Supporting Actress chagua HIDAYA BORI - FUMBUO bonyeza neno vote utakuwa umepiga kura.
Kumbuka kubonyeza neno vote mpaka uone tiki ya kijani juu kulia inayokuja na kupote Hapo kura yako itakuwa tayari Asante Mroni twins Tunatanguliza shukran, Mungu akubariki
 
Duh! Eti nimeshindwa kumkubalia kirahisi 😁
 
Fungulia Uzi mpya,
 
Bora we bado unatongozwa na mabinti, wenzako uzee umepiga hodi uhandsam boi umepotea mabinti hatuwavutii tena kama zamani. Hata wakongwe wenzetu hatuwavutii, hatuna bara wa visiwa tupotupo tu ni kama tumestaafishwa mapenzini
Mkuu huo ni ugali wa mtama ktk avatar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…