Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,923
huna pointShida sio nyie kuomba hela, na shida sio sisi kuwapa hela, shida ni kwamba mnataka mpewe hela na wanaume ambao hamuwapendi, Yani hunipendi, hujavutiwa na mimi kimapenzi, huna hisia na mimi, halafu unaexpect nikupe hela, it's like you're using me, ukichunguza kwa undani hicho ndo kitu wanaume wengi tunakilalamikia kuhusu nyie kutuomba hela Mrs Besyige
KweliNi kweli usemalo ila mleta mada mada yupo sahihi pia
Umeshindwa kumwelewa mtoa mada ama na wewe ndio mmoja ya wanaozungumziwa na mleta madaHivi Kuna kijana ajawahi kupiga nyeto kabisaa
Mafanikio yapo kwenye nyanja nyingi, unaweza kuwa na mzigo kwenye account kwa kufanyiwa Matendo ya kudhalilishwa. Hivyo tutafute mafanikio yaliyo na balance kwenye nyanja tofautiUnamuonyesha mafanikio nani na ili iweje,mafanikio ni kuhakikisha account yako ina mzigo wa kutosha basii,zingine zoote ni ujinga,nawasifu sana wazungu,hawana ujinga huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na vijana walivyo wapuuzi mtu anaamka hata hafanyi usafi.
Kuna dogo alikuja kwangu ndg yake na wife, akawaambukiza watoto wangu ugonjwa wa kulala hadi saa 3 na kuacha mashuka hovyo. Siku moka sijui ilikuaje nikaingia saa mbili kwao, aisee nilipiga mikanda wote pale.
Hakiiiika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waambie hao Sharobaro wanakaa kijiweni chini ya mti kutwa nzima hawataki hata kazi ya saidia fundi kubeba tofali lakini jioni ukirudi utasikia nitoe na buku brooo. Bata wahed!
sas hivi mi nachekaga tuuUtaendelea tena kulia Lia fundi bishoo