Leo nitawapa ishara moja kati ya ishara kadhaa ambazo utaziona pindi unapokaribia kufa

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Note: Hakuna kifo cha ghafla kwa mtu aliyekufa. Mungu lazima amjulishe mtu kuwa safari yake ya duniani imetamatika. Au lazima amjulishe mtu kuwa kuna watu wanataka kutamatisha safari yake ya duniani soon.

Mungu ana njia nyingi za kusema na watu ila njia nyingi wengi huchelewa kuzijua. Macho yao hayaoni, masikio yao hayasikii na ufahamu wao haufahamu.

Leo nitakutajia njia rahisi ambayo ni rahisi kuielewa. Njia hii Mungu huongea na watu wote. Wenye tabia zote. Wanao mcha na wasio mcha, wanaomwamini na wasiomwamini. Njia hii huitwa NDOTO.

Ndoto ziko katika makundi 3 yaliyogawanyika katika makundi mengine madogo madogo.
Hapa siendi deep kwenye ndoto kwakuwa somo la leo SI la ndoto.
Utajuaje kifo chako kimekaribia?
Ukiota ndoto hizi ujue kifo chako kiko karibu karibu karibu sana. May be wiki moja, mwezi mmoja au miezi michache tu mbele yako.
1.Kichwa chako kinavuja damu.

2. Mwili wako umezongwa na wadudu mithili ya inzi.

3.Uko mahali pa upweke halafu unasikia sauti za watu. May be unasikia kilio au maongezi lakini huwaoni watu.

4. Umeota umekufa. Hii nambari 4 ina maana mbili
A. Unakufa kweli

B. Unabadilishwa na kuwa mtu mpya. MUNGU hawezi kumtumia mtu effectively bila kumuua kwanza. Mungu atakuua na kukufufua (anaua mambo yako ya kale na kukufanya upya).
Sasa utatofautisha vipi kati ya A na B?

Kifo cha kimwili ukiota utaota watu wanalia wamekuzunguka au wako karibu na ulipolala.
Kifo cha kazi ya Mungu. Hutosikia vilio wala kuona watu wakikuzunguka.
5. Kutumbukia kwenye shimo refu sana. Na ukaona umeshindwa kutoka.

Nyongeza.
Kwenye nambari 1 hapo suala la kutoka damu.
1. Damu ikitoka sehemu za siri au kiunoni , mtoto wako anataka kufa. Omba

2. Damu ikitoka sehemu za mbavu , mke /mume wako yuko karibu na mauti. Omba

3. Damu ikitoka miguuni , ndugu yako anakwenda kufa lakini si wa karibu sana.
Kwa ufupi ukiona damu inatokà sehemu yoyote ya mwili wako omba. Ni mauti iko mbele. Waombee ndugu zako na wewe mwenyewe.

Hii nimeitafsiri kwa muongozo ya Kibiblia, Kihistoria, Kwa kutumia karama niliyo nayo na kwa kutumia mafundisho kwa ma seniors.
 
Note: Hakuna kifo cha ghafla kwa mtu aliyekufa. Mungu lazima amjulishe mtu kuwa safari yake ya duniani imetamatika. Au lazima amjulishe mtu kuwa kuna watu wanataka kutamatisha safari yake ya duniani soon.

Mungu ana njia nyingi za kusema na watu ila njia nyingi wengi huchelewa kuzijua. Macho yao hayaoni, masikio yao hayasikii na ufahamu wao haufahamu.

Leo nitakutajia njia rahisi ambayo ni rahisi kuielewa. Njia hii Mungu huongea na watu wote. Wenye tabia zote. Wanao mcha na wasio mcha.

Ndoto ziko katika makundi 3 yaliyogawantika katika makundi mengine madogo madogo.

Ok. Hili si somo la ndoto.
Utajuaje kifo chako kimekaribia?
Ukiota ndoto hizi ujue kifo chako kiko karibu karibu karibu sana. May be wiki moja, mwezi mmoja au miezi michache tu mbele yako.
1.Kichwa chako kinavuja damu.

2. Mwili wako umezongwa na wadudu mithili ya inzi.

3.Uko mahali pa upweke halafu unasikia sauti za watu. May be unasikia kilio au maongezi lakini huwaoni watu.

4. Umeota umekufa. Hii nambari 4 ina maana mbili
A. Unakufa kweli

B. Unabadilishwa na kuwa mtu mpya. MUNGU hawezi kumtumia mtu effectively bila kumuua kwanza. Mungu atakuua na kukufufua (anaua mambo yako ya kale na kukufanya upya).
Sasa utatofautisha vipi kati ya A na B?

Kifo cha kimwili ukiota utaota watu wanalia wamekuzunguka au wako karibu na ulipolala.
Kifo cha kazi ya Mungu. Hutosikia vilio wala kuona watu wakikuzunguka.
5. Kutumbukia kwenye shimo refu sana. Na ukaona umeshindwa kutoka.

Nyongeza.
Kwenye nambari 1 hapo suala la kutoka damu.
1. Damu ikitoka sehemu za siri au kiunoni , mtoto wako anataka kufa. Omba

2. Damu ikitoka sehemu za mbavu , mke /mume wako yuko karibu na mauti. Omba

3. Damu ikitoka miguuni , ndugu yako anakwenda kufa lakini si wa karibu sana.
Kwa ufupi ukiona damu inatokà sehemu yoyote ya mwili wako omba. Ni mauti iko mbele. Waombee ndugu zako na wewe mwenyewe.

Hii nimeitafsiri kwa muongozo ya Kibiblia, Kihistoria, Kwa kutumia karama niliyo nayo na kwa kutumia mafundisho kwa ma seniors.
Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, yule kijimungumtu kinachoabudiwa sana na Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, ChoiceVariable na CHAWA wengine, hamalizi kampeni, mwambieni Peter Msechu aanze kazi rasmi ya kumtungia nyimbo
 
Dalili kubwa ni hizi Wala sio ndoto
1. Unakata tamaa na utakuwa unarudia rudia pasipo kujielewa unawaambia watu ni bora ufe
2. Mabadiliko yasiyo ya kawaida katika tabia na kuanza kuongea maneno ya busara sana ya kuwaunganisha watu
3. Unataka kukaa peke yako tu na huku ukijisikia mpweke
Kufa utakufa tu hata usipopata dalili hizi Mungu hakaririwi
 
Kila Nafsi itaonja kifo.
Hakuna cha kuogopa, ni suala la muda tu.
 
Back
Top Bottom