Leo nitawapa ishara moja kati ya ishara kadhaa ambazo utaziona pindi unapokaribia kufa

Leo nitawapa ishara moja kati ya ishara kadhaa ambazo utaziona pindi unapokaribia kufa

Dalili kubwa ni hizi Wala sio ndoto
1. Unakata tamaa na utakuwa unarudia rudia pasipo kujielewa unawaambia watu ni bora ufe
2. Mabadiliko yasiyo ya kawaida katika tabia na kuanza kuongea maneno ya busara sana ya kuwaunganisha watu
3. Unataka kukaa peke yako tu na huku ukijisikia mpweke
Kufa utakufa tu hata usipopata dalili hizi Mungu hakaririwi
mnh bado sijaona ninachotaka,labda no.2 ila kwambaaali yakuforce sn .
 
Ndoto hazina tafsiri yoyote, ni matokeo tu ya sehemu ya ubongo inayohifadhi kumbukumbu kuwa active wakati ubongo kiujumla umelala(upo usingizini). Kwaiyo ni kama kumbukumbu zinawashwa na kuzimwa. Ndio maana mara zote utaota mambo unayoyajua tu, yaani haiwezekani ukaota upo sayari ya pluto wakati haujui hata mazingira ya uko yapoje.
 
Mtoa mada nmesoma Kwa makin nkizan nitapata kitu lkn Kwa ndoto mnh sidhan,
Nilifiwa na mama yangu ghafla.kabla ya kifo chake like 2 days katika story nlimuona akiniangalia Kwa huruma sana,nlipomuuliza alisema nakuonea huruma mwanangu,nikifa Hawa wadogo zako watakusumbua sana.cku nyingine akanambia siku nikifa mke wako hatonoaga mana n mjamzito,kiiman wanasema kuaga maiti mjamzito n vibaya,nkamuliza Imekuaje utakufa wife akiwa mjamzito?inamaana yeye hajigungui miaka yote atakua na mimba tuu(that time wife alikua mjamzito)the next day mama yangu kipenzi nilipokea taarifa ya kifo chake.kati ya wale waliofariki Kwa kumuaga magufuli uwanjan wa uhuru.hivyo naamini kabsa Kuna dalili mtu anayekaribia kufa hupata,ila ni zipo Sasa sijapata SoMo zuri Ili nirelate na hicho kifo Cha mama.
 
Ndoto hazina tafsiri yoyote, ni matokeo tu ya sehemu ya ubongo inayohifadhi kumbukumbu kuwa active wakati ubongo kiujumla umelala(upo usingizini). Kwaiyo ni kama kumbukumbu zinawashwa na kuzimwa. Ndio maana mara zote utaota mambo unayoyajua tu, yaani haiwezekani ukaota upo sayari ya pluto wakati haujui hata mazingira ya uko yapoje.
Ndoto zina maana labda kama hauna hiyo karama, mi huwa naota mambo yatakayotokea....ijumaa iliyopita niliota nimepelekwa polisi, huwezi amini jtatu nikawa polisi kweli.

Nadhani hii hali sio kwa kila mtu
 
Mnakariri sana unadhani kila mtu analala usingizi murua wa kuota hizo ndoto? Kuna watu wanalala kwa sessions; saa 4 usiku-6then saa 10alfajiri-12. Masaa yaliyobaki ni kazi kwa kwenda mbele, hawana muda wa kuota hizo ndoto.
 
Nimeota zote hizo, ila bado mzima.
Ndoto za kula nyama nyingi sasa ndo nnaota.
Nyama nyingi mno, sasa sijui hii ipoje
 
Ndoto zina maana labda kama hauna hiyo karama, mi huwa naota mambo yatakayotokea....ijumaa iliyopita niliota nimepelekwa polisi, huwezi amini jtatu nikawa polisi kweli.

Nadhani hii hali sio kwa kila mtu
Hiyo inatokea tu by-chance sana sana kukiwa na jambo fulani mbele yako kwaiyo utakua unalivutia picha mbalimbali ilo jambo hapo inawezekana kimoja wapo kikaja kama ulivyokivutia picha. Hiyo inakua imetokea tu by-chance, mfano una safari kesho kwaiyo akili inakua inazi-activate informatin mbalimbali ulizinazo kuhusu safari hapo sasa unaweza ukaota umepata ajari, na kesho gari likapata ajari kweli. Hapo sio kwamba ndoto ilikupa taarifa ya ilo tukio, ni imetokea tu by-chance ulichokiota kimetokea ni kama kubet tu. Ndio maana kuna mambo mengi sana unaota na hayatokei?
 
Haikua planned sikua na ishu yoyote polisi na hiyo ni moja tu yapo mengi sana nayaota na hutokea.... Kwangu mie ndoto huwa nazichukulia kwa uzito
 
Haikua planned sikua na ishu yoyote polisi na hiyo ni moja tu yapo mengi sana nayaota na hutokea.... Kwangu mie ndoto huwa nazichukulia kwa uzito
Mimi ndoto huwa nazipuuza tu maana naona hazina maana yoyote mara nyingi tu naota nina hela nyingi halafu nikishtuka najikuta sina kitu sio mfukoni, benki wala mpesa
 
Back
Top Bottom