The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Kwan ni jinga la CCM hilo ?CCM wanadhani kila mtu ni mpuuzi kama wao

Hakuna, sikua na ishu yoyote na hilo la polisi ni moja tu yapo mengi sanaKwa vyovyote vile kuna issue ulijua tu inaweza kukuoereka polisi.
Imebidi niliangalie Tena,😅😅Sio dharau mkuu. Jina lake limenitoa kwenye reli. Sijajua ameandika nini hata
Kwa baadhi ya watu ndoto huwa real!Najua.
Bahati Mbaya Sana mi mtu wa MUNGU tu.
Wamkekufa wakubwa zangu woote, mmoja aliyebaki mwehu mwehu tu.
Kuna mambo nikisimulia hapa watu hawatalala.
Siku nilikimbizwa vibaya mno kwenye kujiokoa nikakuta kingo ya mwisho.
Sikujiuliza mara mbili nikaruka pale juu kuja chini.
Nikatua vizuri.
Ramani ikaniambia NEnda Kwa Mzee fulani.
Huyo yupo opposite na familia yetu na family friends miaka yote:
Kanipokea
Nimejibanza pale mpaka ndoto inaisha kumbe nilikua naota.
Naamka niko kwangu mile 11000+.
Nikatulia.
Week 1-2 tu zilizofuata Mama anasema yule mzee kafa,
daah nilikua nae Juzi tu(ndotoni) .
Ndo kafa tena
SawaMosi
Maombi huzuia vifo vitokanavyo na watu waovu. Yesu alisema musiwaogope wanaoua mwili . Hapo maana yake kuna watu wanauwawa na watu tu na si mapenzi ya Mungu.
Pili
Maombi huweza kurefusha uhai wa mtu panapowekwa sababu za maana. Refer kwenye taarifa ya kifo cha Ezekia
Mtu mweusi hana mchango dunia ni, anawaza kufa tu, na kwenda peponi,Note: Hakuna kifo cha ghafla kwa mtu aliyekufa. Mungu lazima amjulishe mtu kuwa safari yake ya duniani imetamatika. Au lazima amjulishe mtu kuwa kuna watu wanataka kutamatisha safari yake ya duniani soon.
Mungu ana njia nyingi za kusema na watu ila njia nyingi wengi huchelewa kuzijua. Macho yao hayaoni, masikio yao hayasikii na ufahamu wao haufahamu.
Leo nitakutajia njia rahisi ambayo ni rahisi kuielewa. Njia hii Mungu huongea na watu wote. Wenye tabia zote. Wanao mcha na wasio mcha, wanaomwamini na wasiomwamini. Njia hii huitwa NDOTO.
Ndoto ziko katika makundi 3 yaliyogawanyika katika makundi mengine madogo madogo.
Hapa siendi deep kwenye ndoto kwakuwa somo la leo SI la ndoto.
Utajuaje kifo chako kimekaribia?
Ukiota ndoto hizi ujue kifo chako kiko karibu karibu karibu sana. May be wiki moja, mwezi mmoja au miezi michache tu mbele yako.
1.Kichwa chako kinavuja damu.
2. Mwili wako umezongwa na wadudu mithili ya inzi.
3.Uko mahali pa upweke halafu unasikia sauti za watu. May be unasikia kilio au maongezi lakini huwaoni watu.
4. Umeota umekufa. Hii nambari 4 ina maana mbili
A. Unakufa kweli
B. Unabadilishwa na kuwa mtu mpya. MUNGU hawezi kumtumia mtu effectively bila kumuua kwanza. Mungu atakuua na kukufufua (anaua mambo yako ya kale na kukufanya upya).
Sasa utatofautisha vipi kati ya A na B?
Kifo cha kimwili ukiota utaota watu wanalia wamekuzunguka au wako karibu na ulipolala.
Kifo cha kazi ya Mungu. Hutosikia vilio wala kuona watu wakikuzunguka.
5. Kutumbukia kwenye shimo refu sana. Na ukaona umeshindwa kutoka.
Nyongeza.
Kwenye nambari 1 hapo suala la kutoka damu.
1. Damu ikitoka sehemu za siri au kiunoni , mtoto wako anataka kufa. Omba
2. Damu ikitoka sehemu za mbavu , mke /mume wako yuko karibu na mauti. Omba
3. Damu ikitoka miguuni , ndugu yako anakwenda kufa lakini si wa karibu sana.
Kwa ufupi ukiona damu inatokà sehemu yoyote ya mwili wako omba. Ni mauti iko mbele. Waombee ndugu zako na wewe mwenyewe.
Hii nimeitafsiri kwa muongozo ya Kibiblia, Kihistoria, Kwa kutumia karama niliyo nayo na kwa kutumia mafundisho kwa ma seniors.
Mungu ameshasema,siku au saa ya mja kufa ni siri yake.mhimu tufuate yale aliyoamrisha baaasi.Note: Hakuna kifo cha ghafla kwa mtu aliyekufa. Mungu lazima amjulishe mtu kuwa safari yake ya duniani imetamatika. Au lazima amjulishe mtu kuwa kuna watu wanataka kutamatisha safari yake ya duniani soon.
Mungu ana njia nyingi za kusema na watu ila njia nyingi wengi huchelewa kuzijua. Macho yao hayaoni, masikio yao hayasikii na ufahamu wao haufahamu.
Leo nitakutajia njia rahisi ambayo ni rahisi kuielewa. Njia hii Mungu huongea na watu wote. Wenye tabia zote. Wanao mcha na wasio mcha, wanaomwamini na wasiomwamini. Njia hii huitwa NDOTO.
Ndoto ziko katika makundi 3 yaliyogawanyika katika makundi mengine madogo madogo.
Hapa siendi deep kwenye ndoto kwakuwa somo la leo SI la ndoto.
Utajuaje kifo chako kimekaribia?
Ukiota ndoto hizi ujue kifo chako kiko karibu karibu karibu sana. May be wiki moja, mwezi mmoja au miezi michache tu mbele yako.
1.Kichwa chako kinavuja damu.
2. Mwili wako umezongwa na wadudu mithili ya inzi.
3.Uko mahali pa upweke halafu unasikia sauti za watu. May be unasikia kilio au maongezi lakini huwaoni watu.
4. Umeota umekufa. Hii nambari 4 ina maana mbili
A. Unakufa kweli
B. Unabadilishwa na kuwa mtu mpya. MUNGU hawezi kumtumia mtu effectively bila kumuua kwanza. Mungu atakuua na kukufufua (anaua mambo yako ya kale na kukufanya upya).
Sasa utatofautisha vipi kati ya A na B?
Kifo cha kimwili ukiota utaota watu wanalia wamekuzunguka au wako karibu na ulipolala.
Kifo cha kazi ya Mungu. Hutosikia vilio wala kuona watu wakikuzunguka.
5. Kutumbukia kwenye shimo refu sana. Na ukaona umeshindwa kutoka.
Nyongeza.
Kwenye nambari 1 hapo suala la kutoka damu.
1. Damu ikitoka sehemu za siri au kiunoni , mtoto wako anataka kufa. Omba
2. Damu ikitoka sehemu za mbavu , mke /mume wako yuko karibu na mauti. Omba
3. Damu ikitoka miguuni , ndugu yako anakwenda kufa lakini si wa karibu sana.
Kwa ufupi ukiona damu inatokà sehemu yoyote ya mwili wako omba. Ni mauti iko mbele. Waombee ndugu zako na wewe mwenyewe.
Hii nimeitafsiri kwa muongozo ya Kibiblia, Kihistoria, Kwa kutumia karama niliyo nayo na kwa kutumia mafundisho kwa ma seniors.
Note: Hakuna kifo cha ghafla kwa mtu aliyekufa. Mungu lazima amjulishe mtu kuwa safari yake ya duniani imetamatika. Au lazima amjulishe mtu kuwa kuna watu wanataka kutamatisha safari yake ya duniani soon.