Leo nitawapa ishara moja kati ya ishara kadhaa ambazo utaziona pindi unapokaribia kufa

Walokole mna mafundisho ya kipekee sana.
 
Nimeota zote hizo, ila bado mzima.
Ndoto za kula nyama nyingi sasa ndo nnaota.
Nyama nyingi mno, sasa sijui hii ipoje
Wewe washakuroga sana na kukulisha mavitu ya ajabu ajabu, mamikosi mengi na mauchawi umelishwa mzee Babu kijana… pole tafuta wataalam wakushughulikie 😀
 
Nimeota Nakata roho baada ya kupigwa risasi ya kifuani.

Nakuanza kusema Mimi ndio nakufa hivi,Mwili ulianza kuisha Nguvu kabisa pale pale Imani ikanijia nikaanza kushahadia waislam wanajua maana ya Shahada.

Nilikurupuka katika Hali Ile siwezi sahau Hadi kesho nakumbuka ilikuwa 2008
 
Wewe washakuroga sana na kukulisha mavitu ya ajabu ajabu, mamikosi mengi na mauchawi umelishwa mzee Babu kijana… pole tafuta wataalam wakushughulikie 😀
Najua.
Bahati Mbaya Sana mi mtu wa MUNGU tu.
Wamkekufa wakubwa zangu woote, mmoja aliyebaki mwehu mwehu tu.
Kuna mambo nikisimulia hapa watu hawatalala.
Siku nilikimbizwa vibaya mno kwenye kujiokoa nikakuta kingo ya mwisho.
Sikujiuliza mara mbili nikaruka pale juu kuja chini.
Nikatua vizuri.
Ramani ikaniambia NEnda Kwa Mzee fulani.
Huyo yupo opposite na familia yetu na family friends miaka yote:
Kanipokea
Nimejibanza pale mpaka ndoto inaisha kumbe nilikua naota.
Naamka niko kwangu mile 11000+.
Nikatulia.
Week 1-2 tu zilizofuata Mama anasema yule mzee kafa,
daah nilikua nae Juzi tu(ndotoni) .
Ndo kafa tena
 
Unamaanisha maombi huzuia kifo?
Mosi
Maombi huzuia vifo vitokanavyo na watu waovu. Yesu alisema musiwaogope wanaoua mwili . Hapo maana yake kuna watu wanauwawa na watu tu na si mapenzi ya Mungu.
Pili
Maombi huweza kurefusha uhai wa mtu panapowekwa sababu za maana. Refer kwenye taarifa ya kifo cha Ezekia
 
Uliishawahi kufa?
 
Kitu Cha wazi kabisa mhalifu sugu akibadilika na kuwa mtu mwema ghafla kifo chake Kiko karibu sana.
Wahalifu wengi walikufa muda mfupi baada ya kubadilika tabia zao za awali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hizi..
 
Ndoto zina maana labda kama hauna hiyo karama, mi huwa naota mambo yatakayotokea....ijumaa iliyopita niliota nimepelekwa polisi, huwezi amini jtatu nikawa polisi kweli.

Nadhani hii hali sio kwa kila mtu
Kwa vyovyote vile kuna issue ulijua tu inaweza kukuoereka polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…