Leo nitawapa ishara moja kati ya ishara kadhaa ambazo utaziona pindi unapokaribia kufa

Hakuna mwongozo wowote ulioko katika biblia ambao una sapoti hoja zako.

Huna hiyo karama kaka. Then nani amefufuka akatoa hizo ishara kuwa ukiona hivi ujue ndio mikono juu mwendo wa mateka?😀
 
Kwa baadhi ya watu ndoto huwa real!
 
Sawa
 
Mtu mweusi hana mchango dunia ni, anawaza kufa tu, na kwenda peponi,
UK wanattengeneza, meli ya, kivita, thamani, yake, tilioni 30 Tsh, bidhaa moja tu ndani ya, kiwanda UK, ni, sawa, na 75%ya, bajeti yetu,
Kipato cha wastani cha mbongo ni laki mbili,raia wa, Norway kipato chake kwa, mwezi ni milioni 18!
Mara 100 ya kwetu! Yaani, kipato cha mtu mmoja Norway analisha wa bongo 100!
Harafu bado kuna watu wanamuda wa, kuwaza upuuzi wa kifo,kifo kipo tu, Ila Bora Uwe kwenye V8 ufe,kuliko upo umesimama, umeminywa kwenye mwendokasi
 
Mungu ameshasema,siku au saa ya mja kufa ni siri yake.mhimu tufuate yale aliyoamrisha baaasi.
 
Imeandikwa kwenye vitabu vya Dini?
 


Ndugu yangu, wewe uliwahi kufa baadae ukafufuka au ni hisia tu
 
Ulifufuka lini kuja kutushuhudia haya mkuu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…