Leo saa 8, Yanga ataambulisha jezi mpya za msimu 2024-2025,

Leo saa 8, Yanga ataambulisha jezi mpya za msimu 2024-2025,

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Eng Hersi Said akili nyingi

Amewahadaa mbumbumbu kaweka attention ili suala la jezi liende.

Kesi iliyoamuriwa mwaka 2022 iwe Leo ndo ihitaji maamizi.

Mbumbumbu wamegoma kustuka wapo usingizini

Kwa akili hizi wanahabari watajaa, macho ya watu yote watashuhudia uzinduzi wa jezi mpya za msimu Kwa kiki hii ndogo.
Hata makolo Leo mtaishuhudia jezi ya Yanga taka mistake😅

Yaani mnashindwa kujiongeza Yanga mwanachama wa TFF, CAF na FIFA mambo yake ya madaraka yayumbishwe na mahakama za kiraia😆
Eng Hersi Said ni mtu wa maana hasa Ana akili nyingi 😅 ona Sasa jezi yetu mpya imeenda mjini kimasihara hivi.

Asante Kwa promotion kubwa wameifanyia Uzi wetu Leo watajaZa makamera Yao pale jangwani ati wanatenda kushuhudia kung'atuka Kwa Eng Hersi Said kumbe watatangaza Uzi wetu hadi kwenye page za makolo.

Yanga ni kubwa mno
 
1000140849.jpg
 
Eng Hersi Said akili nyingi
Amewahadaa mbumbumbu kaweka attention ili suala la jezi liende.
Haya sasa tuonyeshe jezi zilizozinduliwa 🤣 🤣 🤣
Eti Injinia ana akili! Sasa amekutana na watu kibao wenye akili na wameshaishinda utopolo kesi kibao!
Leta uzi mpya saa nane imeshapitaaa!
 
Asante Kwa promotion kubwa wameifanyia Uzi wetu Leo watajaZa makamera Yao pale jangwani ati wanatenda kushuhudia kung'atuka Kwa Eng Hersi Said kumbe watatangaza Uzi wetu hadi kwenye page za makolo.
Niwekee uzi ule mweusi mweusi, umewaka kinoma! 🤣 🤣 🤣

1721221125086.png
 
Haya sasa tuonyeshe jezi zilizozinduliwa 🤣 🤣 🤣
Eti Injinia ana akili! Sasa amekutana na watu kibao wenye akili na wameshaishinda utopolo kesi kibao!
Leta uzi mpya saa nane imeshapitaaa!
Mtajaa mpigwe 8 tarehe 8
 
Back
Top Bottom