ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Eng Hersi Said akili nyingi
Amewahadaa mbumbumbu kaweka attention ili suala la jezi liende.
Kesi iliyoamuriwa mwaka 2022 iwe Leo ndo ihitaji maamizi.
Mbumbumbu wamegoma kustuka wapo usingizini
Kwa akili hizi wanahabari watajaa, macho ya watu yote watashuhudia uzinduzi wa jezi mpya za msimu Kwa kiki hii ndogo.
Hata makolo Leo mtaishuhudia jezi ya Yanga taka mistake😅
Yaani mnashindwa kujiongeza Yanga mwanachama wa TFF, CAF na FIFA mambo yake ya madaraka yayumbishwe na mahakama za kiraia😆
Eng Hersi Said ni mtu wa maana hasa Ana akili nyingi 😅 ona Sasa jezi yetu mpya imeenda mjini kimasihara hivi.
Asante Kwa promotion kubwa wameifanyia Uzi wetu Leo watajaZa makamera Yao pale jangwani ati wanatenda kushuhudia kung'atuka Kwa Eng Hersi Said kumbe watatangaza Uzi wetu hadi kwenye page za makolo.
Yanga ni kubwa mno