Leo sijaenda kazini na sijatoa taarifa, nimechoka

Leo sijaenda kazini na sijatoa taarifa, nimechoka

Hivi nyie wenzangu mko sawa? yani hamjachoka? Unaamka tu na kwenda kufanya kazi na uko sawa? Na uko sawa kujua lazima uendelee kufanya hivyo kila siku?

Yani mzunguko wako wa maisha ni ule ule [emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini[emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini

Ukiongezea hapo labda umeenda Bar kwa wale wanywaji, na kazi za wengi ni hand to mouth na makelele ya mabosi. Dah!

Mungu na hekima zake zote hawezi kuwa ametuumba ili tu kwenda kufanya kazi na kufa!

And how long are we supposed to do this for?

Leo mimi sijaenda kazini bhana na sijatoa taarifa, Nimechoka asee. Nahitaji kutafakari kama kuna mfumo mwingine wa maisha
Kazi mbaya ukiwa nayo
 
Back
Top Bottom