Leo sijalala sababu ya kipaza sauti cha msikiti

Wewe na mimi hatuna uhakika katika hili..ila kilichoa badili na kutilia shaka hili ni kitendo cha rc kuchanganya ukristo na tamaduni za kiroma.

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu jiwe angavu nikweli usemacho lkn hawa wenzetu RC wanatia shaka sana kwa Imani Yao hata abudu Yao ni tofauti kabisa na wengine

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kweli tuvumiliane, hata sisi kwenye mikesha yenu huwa mnatupa kero ila tunavumilia Kwa kuwa tunajua ndio mnaabudu.

Kero ikizidi hama hapo hamia eneo ambalo ni mbali na misikiti au makanisa.
 
Anayesinzia night club ni mlevi tu, hakuna mtu sober anaweza kusinzia kwenye kelele.
Kuna watu wa mazingira, ila nadhani wanaogopa kwenye dini, ila kelele ni aina ya uchafuzi inapaswa izingatiwe, nilisikia Rwanda hamna habari hizo, na wameenda mbali zaidi kuwa kiongozi wa dini lazima uwe na shahada inayoyambulika hivyo unapata viongozi wa dini wasomi, rahisi kuongea nao na kukuelewa!
 
matumizi mabovu ya bando alisikika bwana waziri nyape ny'nkunde
 
Chuki yako ni dhahiri japo kelele hazihitajiki
 
Mimi ni muislamu kindaki ndaki

Lakini

Napinga Sana matumizi yasiyo sahihi ya vipasa sauti,tena nakereka Sana, vipasa sauti viwe Kwa AJILI ya adhana Tu kuita watu misikini lakini baada ya hapo zitumike spika za ndani ya msikiti,sioni mantiki ya kuwa bughuzi wengine.

Mtume amesisitiza Sana juu ya kuwapenda majirani zetu,sasa kama waislamu Wana wakera majirani Kwa vipasa sauti vyao je hatuoni hapo tunafanya makosa?

Kuna baadhi ya misikiti mpaka raha utasikia adhana Tu baada ya hapo kimya.

Nilisha weka Nia ya kuja na Uzi juu hili panapo majaliwa inshallah
 
Hapo kanuni ya kipi kimetangulia itafuata.

Huwezi muondoa mtu aliyemfuata.

Wakati una jenga au unapanga si ulimkuta.

Ulipaona na ukaafikiana na hali halisi.
Unawaza upande mmoja.
Kwani hujawahi kuona baada ya kumaliza nyumba yako na kuishi jirani anauza eneo lake na panajengwa Msikiti au Kanisa na makelele yanaanza mtindo mmoja. Spika nzito zinafungwa na mawaidha yanaendelea kila siku usiku na mchana kwaya zinapigwa kwa nguvu.

Ujenzi holela unachangia sana haya mambo. Panatakiwa kutengwa maeneo maalum ya Ibada.

Ila hivi Vikanisa na Vimisikiti vinavyo chipua kila kukicha vinasumbua sana staha ya watu wanao hitaji utulivu.
Hasa hivi vinyumba vya dini vya watu binafsi.
 
Misri wamepiga marufuku vipaza sauti kwenye misikiti. Hata huku tukifikia level za uelewa kama Misri hizo spika za misikitini na kwenye makanisa ya kilokole wataziondoa wenyewe
 
Ukitaka kutoa hukumu ya haki kwanza usiwe na chuki nacho na usiwe na mapenzi nacho,mtoa mada atakua wa dini tofauti so anakichukia,ukichoka hata kuwe na kelele kiasi gani utalala tu,labda Kwa watoto wadogo ndio shida
 
Kuna walokole pia wansokesha wakisali na kuimba kwa kelele nyingi.. Yani sasa hivi ukipata pa kuishi ambapo sio karibu na hizi nyumba za ibada uta enjoy sana...
Hawajali kuhusu privacy za wengine
Hawajali kuhusu mapumziko ya wengine
WALOKOLE WANAONGOZA KWENYE HILI.
MAKELELE NI UCHAFUZI WA MAZINGIRA PIA.
TUKISEMA HIVI TUNAONEKANA TUNA PEPO!
 
Allah akuafikishe kaka
 
Ndoige ni Kwa kila mtu uhuru wa ibada
 
Punguza kusoma taarifa za mipasho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…