Huo utafiti ulifanyika wapi kuback up haya madai yako?Ndio Binadamu anaechukiwa Sana na jamii ya WAKRISTO duniani KWA Sasa Papa fransis
Pole sana! Hii ni noise pollution ya wazi kabisa. Pia inaweza kusababishwa na nyumba/kumbi za starehe, makanisa ya kidigitali, nk.Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya kelele zinazopigwa na waislam kwenye vipaza sauti vyao,usiku wa kuamkia leo sijalala kabisa sijui kulikuwa na shughuli gani misikitini basi mpaka SA 8 usiku wanasikika wao tu wakapumzika sa10 wakarudi tena mpaka sasa,zamani jilidhani adhana ni ya kuitana Tu baada ya hapa kinachoendelea wananchi hatusikii lakini naona ni tofauti kila kitu kinawekwa hewani kila mtu asikie nadhani sio sawa
Hapo kanuni ya kipi kimetangulia itafuata.
Huwezi muondoa mtu aliyemfuata.
Wakati una jenga au unapanga si ulimkuta.
Ulipaona na ukaafikiana na hali halisi.
Asante japo nimeona baadhi ya watu wanaichukulia kama chuki wakati si kweli imagine inapigwa adhana kuita watu wakishafika bado spika zinaachwa on tunasikia yanayoendelea nadhani si sawaMisri wamepiga marufuku vipaza sauti kwenye misikiti. Hata huku tukifikia level za uelewa kama Misri hizo spika za misikitini na kwenye makanisa ya kilokole wataziondoa wenyewe
Asante ukiachana na mimi niliekosa usingizi fikiria kuhusu wagonjwa walioko majumbani na siku hizi kuna tabia ya watu kufanya sherehe kwenye nyumba zao basi siku hiyo mtakesha na mziki hakika hii si sawa lazima ukweli usemwePole sana! Hii ni noise pollution ya wazi kabisa. Pia inaweza kusababishwa na nyumba/kumbi za starehe, makanisa ya kidigitali, nk.
Kuna wakati binadamu hatuna kabisa ustaarabu! Imagine tukio ni la kwao, ila wanaamua kwa makusudi kabisa kubughudhi watu wengine wasiohusika kupitia vipaza sauti, spika kubwa, nk!
Mbaya zaidi, wanafanya nyakati za usiku, wakati wale wasiohusika na hiyo shughili yao, wanahitaji utulivu/kupumzika/kulala baada ya mihangaiko yao ya kutwa nzima. Siyo fair hata kidogo.
Tuvumiliane
Uvumilivu uendane na ustaarabu! Hakuna sababu ya msingi ya kuweka vipaza sauti/spika kubwa kwenye nyumba za ibada na kuwabughudhi wengine nyakati za usiku.Kwa kweli tuvumiliane, hata sisi kwenye mikesha yenu huwa mnatupa kero ila tunavumilia Kwa kuwa tunajua ndio mnaabudu.
Kero ikizidi hama hapo hamia eneo ambalo ni mbali na misikiti au makanisa.
Hata hiyo Azana nayo ni noise pollution tu! Unaniamsha kwa azana, kwani sina uwezo wa kuamka mwenyewe?Asante japo nimeona baadhi ya watu wanaichukulia kama chuki wakati si kweli imagine inapigwa adhana kuita watu wakishafika bado spika zinaachwa on tunasikia yanayoendelea nadhani si sawa
Asante ukiachana na mimi niliekosa usingizi fikiria kuhusu wagonjwa walioko majumbani na siku hizi kuna tabia ya watu kufanya sherehe kwenye nyumba zao basi siku hiyo mtakesha na mziki hakika hii si sawa lazima ukweli usemwe
Mkuu hao sijui walikuwa wanapiga kelele za aina gani watakuwa wazee wa ubwabwa tu hao, mleta mada atakuwa amenyooshwa hahahahaha.Teknolojia imekuwa kwa sasa wazee wa kanzu na barakashia tumieni alarm za kwenye simu zenu.
Adhana ni alama miongoni mwa alama za uislamu, kule kuadhiniwa kwa sauti ni ibada tayari na ni ishara ya kudhihirisha uislamu kwenye miji hiyo, kwani pana mahali adhana haitoki kabisa watu wanaenda kwa kuangalia saa.Hata hiyo Azana nayo ni noise pollution tu! Unaniamsha kwa azana, kwani sina uwezo wa kuamka mwenyewe?
hii ni kero kwa dini zote. kwa hiyo ku target dini moja sidhani kama ni sawa kama ulivyoandika wewe hapa.Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya kelele zinazopigwa na waislam kwenye vipaza sauti vyao, usiku wa kuamkia leo sijalala kabisa sijui kulikuwa na shughuli gani misikitini basi mpaka SA 8 usiku wanasikika wao tu wakapumzika sa10 wakarudi tena mpaka sasa.
Zamani jilidhani adhana ni ya kuitana tu baada ya hapa kinachoendelea wananchi hatusikii lakini naona ni tofauti kila kitu kinawekwa hewani kila mtu asikie nadhani sio sawa.
Uvumilivu wa kiimani ni muhimu..Wafia dini watasema mbona kelele za Bar hamlalamikii!
Mwanadamu mgumu kuamka mwenyewe labda iwe kwenye dili la pesa au ahadi ya ngono.Hata hiyo Azana nayo ni noise pollution tu! Unaniamsha kwa azana, kwani sina uwezo wa kuamka mwenyewe?
Freemason utumia hata viongozi wa serikali Ili kuipinga dini kama walivyofanya Rwanda.Mimi sijawahi sikia mtu akipinga kelele za bar au night clubs usiku kucha, lakini kwa mambo ya dini wanapingaNakumbuka nyakati flan mkoa flani niliwahi shauri watu wakaibe vipaza sauti kisa sauti hizo za kuvuka kilomite.
Nadhani si ustaarabu kabisa. Kusali kwako kusiwe kwazo kwa mwingine. Ni vema kilamtu achunge kumkwaza mwenzake.
Dr shoo sikumoja niliwahi msikia akiambia maaskofu wake kuhakikisha wanafuata taratibubza nemc. Dah nilimwona mtu sana maana anaelewa dini na taratibubza nemc
NA haya makanisa yanayochipukia niwashauri pia si vizuri kupigiana kelele usiku kucha. Weka sauti ya kusikilizana ndan na hamna mtu atakusumbua.
Kilamtu na achunge kumkwaza mwenzake. Mi mkeistu we mpagani sipaswi kukupigia kelele kisa mie mkristu