Leo Siku ya Wanawake: Tuambiane ukweli tu kuna Wanawake bila kipigo kidogo hawaelewi kabisa

Mimi nilishampiga kwa Vichwa kama kondoo...,hajawahi rudia tena hizo kauli za nipige...,anakimbiaga/anakaa kimya akiona kuna dalili za kupigwa
Like me,hiyo ndio dawa,ila usingechukua hatua angekuoanda kichwani
 
Furaha yangu ni kwamba nimebadirisha mtazamo wa mtu mmoja kuhusu intergender dynamics.

Hongera brother...you on the righ path.
Sio mmoja, there are others behind me.

I was in pain brother. Nilikuwa nateseka vibaya mno na kujiuliza what can I do?

Oneitis iliniendesha haswa. I applied game on her na heshima imerudi. I now set the frame.

Now I'm not surprised by women's mystique and the prerogative to change their minds. I understand the message in their actions. I act accordingly.

I understand and have accepted hypergamy. Women don't surprise me anymore as I know what they are capable of given the right circumstances.
 
Kumpiga mwanamke ni kiashiria tosha kuwa mwanaume ni dhaifu.

Mwanaume dhaifu haamini kama uwezo wake wa kumuadabisha mwanamke ni mkubwa kuliko viganja vya mikono yake.

Udhaifu huu unazaliwa na namna mwanaume alivyolelewa na baba yake mzazi.
Mkuu km umeoa jipe mda tu sisi tulio kwenye ndoa tunakimbia miaka 20 lakini changamoto za hawa watu ni majanga.Mwanamke hua kuna kipindi anatingisha km ww ni mwanume kweli sasa ww kaa na kua unamweleza tu utavunja ndoa hutadumu hawa siku akizingua na umeshamkalisha sana kumuelekeza na haelewi ni kipigo ndo jawabau sahihi.
 
Utaoa mara ngapi kama tatizo kidogo tu unabadili kiota?

Halafu hii dhana ya kuwa 'ukiona mwanamke hakuheshimu ujue kuna mwingine anapewa heshima eti ujiongeze' ni upotofu mwingine.
Kuna baadhi (si wake tu) wameumbwa vichwa vyao vibovu,... hakuna sehemu wanaheshimu wala kutafuta kuheshimiwa.
 

vetting thoroughly is your only weapon kuwaepuka vichwa vibovu.

Kama umeshindwa kupata utiifu na heshima na unyenyekevu kutoka kwa mwanamke uliye oa au uliyenaye kwenye mahusiano basi you have failed as a man.

A woman is always on the radar to look for a man waku submitt. Kama sio wewe basi ni jirani yako au rafiki yako au somebody else.
 
Shida kizungu sasa
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…