Leo Siku ya Wanawake: Tuambiane ukweli tu kuna Wanawake bila kipigo kidogo hawaelewi kabisa

Leo Siku ya Wanawake: Tuambiane ukweli tu kuna Wanawake bila kipigo kidogo hawaelewi kabisa

Ndoa ni taasisi wanayo itumia baadhi ya wanawake kujihakikishia uhakika wa kila kitu anachotakiwa kukipata kutoka kwenye ndoa.

Huwa haina faida sana kwa mwanaume.

Nimeoa mwanamke, from the first day nimemwambia kuwa hizi ringi za vidoleni sio sababu ya mimi kuendelea kuishi naye pale atakapo shindwa kuishi katika matarajio yangu.

Na anajua hilo kuwa siku moja akizingua anasepa.

Hivyo hana jeuri hiyo unayo isema wewe.

Unategemea umemuaminishaje tangu hapo awali.
Vip swala la 50-50,una maoni gani wewe kama wewe? Unakubaliana nalo?
 
Ndoa ni taasisi wanayo itumia baadhi ya wanawake kujihakikishia uhakika wa kila kitu anachotakiwa kukipata kutoka kwenye ndoa.

Huwa haina faida sana kwa mwanaume.

Nimeoa mwanamke, from the first day nimemwambia kuwa hizi ringi za vidoleni sio sababu ya mimi kuendelea kuishi naye pale atakapo shindwa kuishi katika matarajio yangu.

Na anajua hilo kuwa siku moja akizingua anasepa.

Hivyo hana jeuri hiyo unayo isema wewe.

Unategemea umemuaminishaje tangu hapo awali.

Waeleze hao wasiojitambua..waeleze
 
Amemisbehave..au ulitaka umpeleke kwenu akawe beki 3 wenu
Unajua kinachofanya ndoa kuvunjika? Kama kashindwa kukusikiliza haikupi haki ya kumrudisha kwao,labda kama mlikua mnaishi kishkaji sawa,ila kama mmekula kiapo ujue huo mzigo wako na utakufa nao.

Ukiwa na wazo hilo akili amezingua hamsikizani utamfanyaje?
 
Kumpiga mwanamke ni kiashiria tosha kuwa mwanaume ni dhaifu.

Mwanaume dhaifu haamini kama uwezo wake wa kumuadabisha mwanamke ni mkubwa kuliko viganja vya mikono yake.

Udhaifu huu unazaliwa na namna mwanaume alivyolelewa na baba yake mzazi.
jiwe mwenyewe anamlamba vibao mke wake piga kabisa na stuli mpaka mkewe akalazwa jiwe bwana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] anajionaga masta
 
Unajua kinachofanya ndoa kuvunjika? Kama kashindwa kukusikiliza haikupi haki ya kumrudisha kwao,labda kama mlikua mnaishi kishkaji sawa,ila kama mmekula kiapo ujue huo mzigo wako na utakufa nao.

Ukiwa na wazo hilo akili amezingua hamsikizani utamfanyaje?
Kama mm mwanaumenmapeleka kwao napeleka kesi kwao...wamuonye.kama ataonyekq atarudi km.kichwa ngumu mpe talaka kiroho safi huyo hakua chaguo lako
 
Mimi mmojawapo alafu sijui ni kwanini
wanawake wote wana hiyo tabia anakwambia huku anakufuata....."nipige kama ww ni mwanaume kweli"hapo tayari tumezaa watoto watatu!!!!
basi mie nilimtandika wife ngumi kali ya uso japo badae nilijutia .....
nikasema sitarudia tena kumpiga mke wangu...
akinikorofisha.Moto ukiwaka huwa nasepa manake ana kidomo domo....
baada ya ngumi vipi alirudia kusema nipige tena kama wewe mwanaume?
 
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Naongezea mwanamke mjali to the max...utaona kama atakufanyia ujinga...yaan utamremote uwezavyo ww sio ummwagie mijihela hiyo mnayosemaga..hata pipi tu atakuthamini......
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] tupe madini tupe maujanja[emoji3][emoji3][emoji3].so mwanamke anahitaji kupendwa to the maximum,kujaliwa, kusifiwa,kuhidumiwa,kununuliwa zawadi enheee ongezea na kingine,
 
Chukua bia tano...,nipe namba ya muuzaji ili nimlipe kwa M-PESAA
Huwezi kulazimisha mapenzi ya dhati kutoka kwa mwanamke kwa kumpiga.

Mapenzi ya dhati ya mwanamke kwa mwanaume yanathibitika kwa utii na unyenyekecu wake kwako.

Kama hafanyi hayo inamaa kuna pengine anako yafanya.

Unachotakiwa kufanya ni kutafuta mwanamke mwingine regardless umeoa au la.
 
Back
Top Bottom