Leo Siku ya Wanawake: Tuambiane ukweli tu kuna Wanawake bila kipigo kidogo hawaelewi kabisa

Leo Siku ya Wanawake: Tuambiane ukweli tu kuna Wanawake bila kipigo kidogo hawaelewi kabisa

Udhaifu wa mwanaume unadhani unapimwa kwa namna uliyoisema...!? Kuna wanawake majeuri ndugu... Naturally wanaume hatujaumbwa kusemasema, wanawake wao somehow wapo hivyo. Sasa ukute anachokisema kila kuchwapo ni kile kinachokera tu.. We have limits kuvumilia hayo... na wakati mwingine ushamkalisha na kumueleza vya kutosha, ameshasemwa na kila unayedhani atasaidia, vya kutosha... LAKINI WAPII Utamchapa tu ndugu....

Sasa hapo tatizo lipo kwa mwanaume.

Before you get attached to a particular female, you gotta make sure you vet extensively.

If you attract wapiga kelele, tatizo liko kwako nao sie yeye.
 
Nakuunga mkono mkuu,, mimi mwenyewe yalishawahi kunikuta, ila kabla polisi hawajanikamata niliingia mitini na kesho yake tukayamaliza!
emoji16.png
emoji3526.png
emoji848.png
 
Kumpiga mwanamke ni kiashiria tosha kuwa mwanaume ni dhaifu.

Mwanaume dhaifu haamini kama uwezo wake wa kumuadabisha mwanamke ni mkubwa kuliko viganja vya mikono yake.

Udhaifu huu unazaliwa na namna mwanaume alivyolelewa na baba yake mzazi.

True kuna wanaume wao yaan kitu chochote yeye kumpiga mwanamke ndo anaona solution,
 
I was born with a natural embracement of masculinity. Its there to stay!

I was raised by a strong father figure. Cant be attracted to your homosexual fantasies.

Ciaos.
Samahani mkuu, hivi lugha ya Kiingereza ni rahisi kuliko Kiswahili!?
 
Kumpiga mwanamke ni kiashiria tosha kuwa mwanaume ni dhaifu.

Mwanaume dhaifu haamini kama uwezo wake wa kumuadabisha mwanamke ni mkubwa kuliko viganja vya mikono yake.

Udhaifu huu unazaliwa na namna mwanaume alivyolelewa na baba yake mzazi.
Endelea kujidanganya.
 
Samahani mkuu, hivi lugha ya Kiingereza ni rahisi kuliko Kiswahili!?
Huwezi kulazimisha mapenzi ya dhati kutoka kwa mwanamke kwa kumpiga.

Mapenzi ya dhati ya mwanamke kwa mwanaume yanathibitika kwa utii na unyenyekecu wake kwako.

Kama hafanyi hayo inamaa kuna pengine anako yafanya.

Unachotakiwa kufanya ni kutafuta mwanamke mwingine regardless umeoa au la.
 
Back
Top Bottom