Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
- Thread starter
- #61
Nimetoka kusoma.ile.post ambayo umemuunganisha mdada kwenye interview fulani.
Mwisho wa siku ukapata wivu kwakuwa HR anamla yule demu.
-USHAURI-
Fanya mazoezi ya kutongoza mara kwa mara, utajipata ukiwa mwepesi kuAproach beibeiz. Inaonekana dhahiri umejaa na uwoga mbele ya wanawake.
sasa wanawake wenyewe kama wewe hapo wacha niogope aiseee..... hata hayo mazoezi siyataki.