Leo Siku ya Wanawake: Tuambiane ukweli tu kuna Wanawake bila kipigo kidogo hawaelewi kabisa

Leo Siku ya Wanawake: Tuambiane ukweli tu kuna Wanawake bila kipigo kidogo hawaelewi kabisa

Mimi nilishampiga kwa Vichwa kama kondoo...,hajawahi rudia tena hizo kauli za nipige...,anakimbiaga/anakaa kimya akiona kuna dalili za kupigwa
Mwanamke hapogwi na mikono wala mateke. Mwanamke anapigwa na mguu wa "tatu".

Kutumia mikono na miguu kuna maanisha mguu wako wa "tatu" hauko na ufanisi wa kutosha.
 
Sasa hapo tatizo lipo kwa mwanaume.

Before you get attached to a particular female, you gotta make sure you vet extensively.

If you attract wapiga kelele, tatizo liko kwako nao sie yeye.
Inamaana wwe hujuwi kuwa Mwanamke pia hubadilika kutokana na Mazingira!? Unaweza owa Mwanamke mpole sana,but along the way akaanza kubadilika hadi Mwanaume unajiiuliza hivi huyu Mwanamke ana mashetani au nini!?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke hapogwi na mikono wala mateke. Mwanamke anapigwa na mguu wa "tatu".

Kutumia mikono na miguu kuna maanisha mguu wako wa "tatu" hauko na ufanisi wa kutosha.
Imeisha hiyo na wapigaji wengi mguu wao wa tatu haufanyi kazi vizuri yani magoigoi, teh teh teh
 
Wanaume wengi wenye tabia za kupiga wanawake zao Ni Kama wanna tatizo la kisaikolojia Yani psychopath
 
Hiyo kauli ''nipige kama wewe mwanaume '' kanda maalum haitumiki kamwe
Unajua kinachofanya ndoa kuvunjika? Kama kashindwa kukusikiliza haikupi haki ya kumrudisha kwao,labda kama mlikua mnaishi kishkaji sawa,ila kama mmekula kiapo ujue huo mzigo wako na utakufa nao.

Ukiwa na wazo hilo akili amezingua hamsikizani utamfanyaje?
unachekesha sana mkuu. yaani mkae mnashindana kwenye ndoa kisa mmefunga ndoa
kama anazingua timua au mpandishe cheo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata mimi nilisemaga kabla sijaoa,ila nimeoa kumbe ni tofauti. Kwanza mwanamke akiolewa anajua tayari huwez muacha kiraisi kwa hiyo jeuri lazma itakuepo,kama ukiwa dhaifu utakuwa chini yake mida si mrefu.

Diplomasia ina mwisho wake ndani asikwambie mtu,labda kwa michepuko ndio kufukuzana kawaida
ushampiga kama mara ngapi hivi?
 
😅 " Ati nipige kama wewe ni mwanaume kweli" 😅

Inshort isho nao kwa akili na mwanamke hapigwi...
 
Hii kauli ya “nipige kama wewe mwanaume kweli” imewaponza wengi sana Ila wanawake sisi wengi wetu ni vivuruge
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
"Nitazame na hayo macho yako kama na wewe ni mwanamke kweli "[emoji3526]
 
Huwezi kulazimisha mapenzi ya dhati kutoka kwa mwanamke kwa kumpiga.

Mapenzi ya dhati ya mwanamke kwa mwanaume yanathibitika kwa utii na unyenyekecu wake kwako.

Kama hafanyi hayo inamaa kuna pengine anako yafanya.

Unachotakiwa kufanya ni kutafuta mwanamke mwingine regardless umeoa au la.
Cheers to your thoughts

Kingsmann

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
A mans inability to persue multiple sexual patners is the reason why many men resort into violence, thinking that they can negotiate desire through traditional way.
Mzee kila nikikuona nakushukuru kwa kile kitabu (the rational male)

Kuna nshomile mmoja nimemnyoosha kwa dread games kakaa mstari sasa.

Married game is arguably tighter than single & dating game
 
Mzee kila nikikuona nakushukuru kwa kile kitabu (the rational male)

Kuna nshomile mmoja nimemnyoosha kwa dread games kakaa mstari sasa.

Married game is arguably tighter than single & dating game
Furaha yangu ni kwamba nimebadirisha mtazamo wa mtu mmoja kuhusu intergender dynamics.

Hongera brother...you on the righ path.
 
Back
Top Bottom