sundoka
JF-Expert Member
- Oct 9, 2011
- 2,067
- 2,759
Hata mimi niliwahi kuniapiza siwezi kumpiga mwanamke, tena niliona ni kutojiamini. Pia nilikuwa nawaambia watu kumpiga mwanamke ni mambo ya kizamani.
Ila sasa baada ya kuoa ndo nimejua kuwa "sio kila ajali anayopata dereva makosa yanakuwa yake" Wanawake ndo wanaotufanya tuwapige. Na kinachofanya mara nyingi wapigwe sio makosa wanayofanya, bali ile reaction baada ya kufanya makosa.
Mtu umenikosea unaona kabisa nina hasira, badala ya kushuka chini au ukakaa kimya bado unajifanya unajua sana kuongea. Imagine mwanamke anakwambia "nipige kama wewe mwanaume kweli"! Kwa hiyo ulitegemea nikuache ili niwe mwanamke mwenzio?