chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
weka mkeka binti yanguSawa
nina nyumba zaidi ya mbili hapa mjiniHujui kila kitu katika maisha yako, huna choo,huna chakula,huna pa kulala huo uprofesa unautoa wapi?
tusubiri muda wa mechi kisha turudi hapa, all in all ni probability si uhakika wa asilimia 100, ila chance kubwa according to Mathematics, I Place Simba Over Young AfricansHapo umekuwa kama Professor wa Jalalani
hakuna Simba na u Yanga, yeyote akishinda kwangu sawa lakini nimewachambulia watu wapate insight ya kitakacho tokea leo kuepusha pressure na watu kuzimiaNyie ndio mnaotuchelewesha nchi ya ahadi kwa usimba na uyanga wenu
Hesabu zako hazikutumika kwenye maelezo yako.kama hizi timu zote mbili zinafanana uwezo lakini Yanga ameshinda mfululizo mara nyingi, Probability ya Simba kuchukua kombe Leo ni Kubwa sana
mimi ni Professa wa Hesabu katika chuo
zinawaafect wote bila kujali, na hata mechi zilizopita huwenda zili affect kwaiyo hiyo una i keep constantHesabu zako hazikutu.jika kwenye maelezo yako.
Kuna kitu hujazingatia.
Ushindi wa timu inategemea factor zingine nje ya uwanja kabla au wakati wa mechi ili timu ishinde. Mfano maandalizi, afya ya wachezaji n.k.
Wachezaji wa timu moja wanaweza kukosa hamasa ya mchezo sababu ya madai ya pesa wakacheza chini ya kiwango wakafungwa.
Kwa hivyo hiyo tunaita Conditional probability.
Wewe umechukulia hiyo mechi ni unbiased event probability, unconditional probability.
Kasome tena hesabu za probabilities.
Mfano kunyesha kwa mvua ni conditional probability. Inategemea temperature, humidity na upepo.
Hili tukio siyo sawa na kurusha sarafu(flipping coins).
Sijui umenielewa?
Lol.Hapo umekuwa kama Professor wa Jalalani
Labda kwa penalties mwisho wa mchezoYanga Ameshinda mechi zake nyingi kila alikutana na simba.
Fikiria interms of probability, una coin yenye pande 2, kichwa na mwenge..
umerusha mara ya kwanza ikatua kichwa, mara ya pili kichwa hadi mara ya sita zote mfululizo kichwa. hapa unajua kabisa chance ya kupata upande wa mwenge ni mkubwa sana
kama hizi timu zote mbili zinafanana uwezo lakini Yanga ameshinda mfululizo mara nyingi, Probability ya Simba kuchukua kombe Leo ni Kubwa sana
mimi ni Professa wa Hesabu katika chuo x
Mechi zilizo pita Ni event nyingine kabisa na mechi zijazo hazitegemeani.zinawaafect wote bila kujali, na hata mechi zilizopita huwenda zili affect kwaiyo hiyo una i keep constant
Mpira sio Probability, Mpira ni dakika tisini, maandalizi nje ya uwanja kwa maana ya mazoezi,team work ndani ya pitch na support ya mashabiki bila kusahahu mbinu mbalimbali za kocha.Yanga Ameshinda mechi zake nyingi kila alikutana na simba.
Fikiria interms of probability, una coin yenye pande 2, kichwa na mwenge..
umerusha mara ya kwanza ikatua kichwa, mara ya pili kichwa hadi mara ya sita zote mfululizo kichwa. hapa unajua kabisa chance ya kupata upande wa mwenge ni mkubwa sana
kama hizi timu zote mbili zinafanana uwezo lakini Yanga ameshinda mfululizo mara nyingi, Probability ya Simba kuchukua kombe Leo ni Kubwa sana
mimi ni Professa wa Hesabu katika chuo x
hujui kampuni za kubetisha zinatumia hesabu, nyie wabetiji ndo mnatumia hivo vigezo unavyosemaMpira sio Probability, Mpira ni dakika tisini, maandalizi nje ya uwanja kwa maana ya mazoezi,team work ndani ya pitch na support ya mashabiki bila kusahahu mbinu mbalimbali za kocha.
Mambo mengine ni vanity.