huwezi ukashinda milele, hauwezi ukarusha coin ikatua mfululizo kichwa mara 100Mechi zilizo pita Ni event nyingine kabisa na mechi zijazo hazitegemeani.
Hizo siyo mutual exclusive events ni independ events kwenye probability.
Kushinda mechi moja ya mpira hakuzuii usishinde zingine zote zinazo fuata.
Ni kama kushinda lottery au kwenye sports betting. Unaweza kushinda mara zote au ukakosa zote.
Ndo kusema mmefikia huku?Labda kama Uto hawajaroga
Ninajua wao wanabase kwenye statistics za past events, lakini bado pia kwenye statistics za past events bado Yanga anapewa nafasi kubwa ya kushinda.hujui kampuni za kubetisha zinatumia hesabu, nyie wabetiji ndo mnatumia hivo vigezo unavyosema
Yanga wapo imara Kwa kucheza katikati na Simba wana strength ya kucheza wideNinajua wao wanabase kwenye statistics za past events, lakini bado pia kwenye statistics za past events bado Yanga anapewa nafasi kubwa ya kushinda.
Japo, Ukiniuliza mimi kama mshabiki wa Yanga lialia nitakuambia kuwa leo sina uhakika kama tutaishinda hii Simba, Nikiangalia kasi ya mchezo wa Simba walioionyesha dhidi ya Mlandege na Mchezo wa Yanga dhidi ya Azam FC Ulibebwa zaidi na skills za mchezaji mmoja mmoja.
View attachment 3581314
Japo statistics zinambeba Yanga.
Umeshambiwa ile siyo Kama kurusha sarafu(coin).huwezi ukashinda milele, hauwezi ukarusha coin ikatua mfululizo kichwa mara 100
Kingine. Refa ni mwanachama wa Yanga tawi la makumbusho ZenjiNdo kusema mmefikia huku?
Kwa hiyo mpira si uwezo, vipaji, mafunzo na maarifa bali ni kamari(tombola).Yanga Ameshinda mechi zake nyingi kila alikutana na simba.
Fikiria interms of probability, una coin yenye pande 2, kichwa na mwenge..
umerusha mara ya kwanza ikatua kichwa, mara ya pili kichwa hadi mara ya sita zote mfululizo kichwa. hapa unajua kabisa chance ya kupata upande wa mwenge ni mkubwa sana
kama hizi timu zote mbili zinafanana uwezo lakini Yanga ameshinda mfululizo mara nyingi, Probability ya Simba kuchukua kombe Leo ni Kubwa sana
mimi ni Professa wa Hesabu katika chuo x
vyote vinahusika kwa pamojaKwa hiyo mpira si uwezo, vipaji, mafunzo na maarifa bali ni kamari(tombola).
Mkuu huwezi kupata hofu kwakua mechi ya simba na mlandege ilikua na kasi, ukihofu itakua unamaana mlandege yupo sawa na Yanga. ....Ninajua wao wanabase kwenye statistics za past events, lakini bado pia kwenye statistics za past events bado Yanga anapewa nafasi kubwa ya kushinda.
Japo, Ukiniuliza mimi kama mshabiki wa Yanga lialia nitakuambia kuwa leo sina uhakika kama tutaishinda hii Simba, Nikiangalia kasi ya mchezo wa Simba walioionyesha dhidi ya Mlandege na Mchezo wa Yanga dhidi ya Azam FC Ulibebwa zaidi na skills za mchezaji mmoja mmoja.
View attachment 3581314
Japo statistics zinambeba Yanga.
watu nikiwaambia kitu hawaamini wanakuja kubisha badala wachukue fursashem chai ya rangi a.k.a professor wa hesabu njoo unitabilie maisha yangu😄😄😄
Mzee wa chuo X hatimae utabiri wako umekuwa sahihiYanga Ameshinda mechi zake nyingi kila alikutana na simba.
Fikiria interms of probability, una coin yenye pande 2, kichwa na mwenge..
umerusha mara ya kwanza ikatua kichwa, mara ya pili kichwa hadi mara ya sita zote mfululizo kichwa. hapa unajua kabisa chance ya kupata upande wa mwenge ni mkubwa sana
kama hizi timu zote mbili zinafanana uwezo lakini Yanga ameshinda mfululizo mara nyingi, Probability ya Simba kuchukua kombe Leo ni Kubwa sana
mimi ni Professa wa Hesabu katika chuo x
hii gem ilikua inategemea hesabu tuMzee wa chuo X hatimae utabiri wako umekuwa sahihi