Funny boe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 3,637
- 8,214
Tupe tena game ijayohii gem ilikua inategemea hesabu tu
Tupe tena game ijayohii gem ilikua inategemea hesabu tu
kuna utabiri mwingine niliuweka hapaTupe tena game ijayo
Mkuu tutabirie kile kitatokea Isamuyo may 3watu nikiwaambia kitu hawaamini wanakuja kubisha badala wachukue fursa
Salaam, upo Dada yangu...?Lol.
Salama kabisa Mie nipo jamani.Salaam, upo Dada yangu...?
Mi nafkiri tunapishana nimekuwa sio mtu wa kuchangia mada siku hizi napita tu kusoma habari na kutoka, hatimaye nikakuona nikasema nikusabahi walau.Salama kabisa Mie nipo jamani.
Huu ukimya ulikuwa na kheri kweli? Au ndo tunapishana?
Ok. Ahsante sana kwa salaam.Mi nafkiri tunapishana nimekuwa sio mtu wa kuchangia mada siku hizi napita tu kusoma habari na kutoka, hatimaye nikakuona nikasema nikusabahi walau.
Macho yako, naomba uni-check inbox tuyajenge...! Regards.Ok. Ahsante sana kwa salaam.
Tuko pamoja mdogo wangu. 🤝
Kama unaishi kwenye mji huu karibu kwenye sherehe ya vinywaji jioni ya leo😂😂😂Wa aleykum salaam Mtani.
Daah!!
Hahahaaa! Kweli ushindi unaraha yake Mtani.Kama unaishi kwenye mji huu karibu kwenye sherehe ya vinywaji jioni ya leo😂😂😂