Leo Simba ana uwezekano Mkubwa sana wa kushinda, nitawachambulia kwanini,

huwezi ukashinda milele, hauwezi ukarusha coin ikatua mfululizo kichwa mara 100
 
hujui kampuni za kubetisha zinatumia hesabu, nyie wabetiji ndo mnatumia hivo vigezo unavyosema
Ninajua wao wanabase kwenye statistics za past events, lakini bado pia kwenye statistics za past events bado Yanga anapewa nafasi kubwa ya kushinda.
Japo, Ukiniuliza mimi kama mshabiki wa Yanga lialia nitakuambia kuwa leo sina uhakika kama tutaishinda hii Simba, Nikiangalia kasi ya mchezo wa Simba walioionyesha dhidi ya Mlandege na Mchezo wa Yanga dhidi ya Azam FC Ulibebwa zaidi na skills za mchezaji mmoja mmoja.

Japo statistics zinambeba Yanga.
 
Yanga wapo imara Kwa kucheza katikati na Simba wana strength ya kucheza wide
Simba walicheza wide Kwa maana ya kutumia wings na overlapping full backs Kuna possibility kubwa ya kuacha magap katikati na kufungwa

Binafsi naona Yanga akishinda
 
Yanga wanatamba sana kwenye derby kwasababu wanajua washamalizana na refa ndio maana msemaji wao anaongea shombo kabla ya mechi
 
huwezi ukashinda milele, hauwezi ukarusha coin ikatua mfululizo kichwa mara 100
Umeshambiwa ile siyo Kama kurusha sarafu(coin).
Hutegemea mambo mengi hadi kushida.
Kama mmoja amejiandaa vizuri akafuta mpango kazi wake vizuri atashinda tu. Endapo muamuzi hatapendelea.
 
Kwa hiyo mpira si uwezo, vipaji, mafunzo na maarifa bali ni kamari(tombola).
 
Mkuu huwezi kupata hofu kwakua mechi ya simba na mlandege ilikua na kasi, ukihofu itakua unamaana mlandege yupo sawa na Yanga. ....
 
Mzee wa chuo X hatimae utabiri wako umekuwa sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ