Leo tarehe 09.04.2025 Simba akimfunga Al Masry goli 3 Mods naomba nipigwe ban Miaka Mitatu

Huna akili unawaza UPUZI upuzi
 
Kwani wale wazee waliruhusiwa na meneja kuingia uwanjani?
 
Dah! Comrade, hii BAN utakuwa umejitakia mwenyewe! Ile Al Masry mbona ni timu ya kawaida sana. Maana mpaka leo hata sielewi ilukuwaje siku ile simba alifungwa goli 2 kwa bila.

Mimi ni Yanga! Ila kwa Al Masry ile; itakuwa ni maajabu wasipofungwa. Simba wanahitaji tu utulivu kuumaliza mchezo mapema.
 
Sawa,mods tumekusikia
 
Hawana uwezo wa kuwafunga goli 3 au umeambiwa Al Masry ni Dodoma Jiji?
 
 
Mods nuombeni ushauri namna ya kumfungia huyu hata akija kwa kutumia ID nyingine, mbinu zipo zaidi ya 1,000 za kuhakikisha anapigwa ban kwa kila atakachotumia
 
Akishinda 3-2 anapita? Maana nao ni ushindi wa magoli 3
 
Akishinda 3-2 anapita? Maana nao ni ushindi wa magoli 3
3-2 aggregate inasoma 3-4 Al Masry anakua amepita na faida ya magoli mawili ya ugenini yanambeba shwaaa Simba inatakiwa ashinde 3-0 yaan asiruhusu goli hata 1 na ashinde goli 3 kavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…