Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Active Bridger Mhariri Payge Moderator 255FixerWakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3.
Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku kuendeleza ubabe Simba anakufa tena na hapati hata goli 1.
Mods Simba akimfunga Al Masry goli 3 basi naomba nifungiwe kuitumia JF miaka mitatu yaani nipigwe ban miaka mitatu.
Kamdomo kamemponza, miaka mitatu si mchezo.Alisema goli 3 sio goli 2 hawa mods wamemuonea Simba kashinda 2 sio 3 kwa hio hana haja ya kupigwa ban
Soma maelezo yake. Mbona ametumia kiswahili chepesi.soma alichoandikaAlisema goli 3 sio goli 2 hawa mods wamemuonea Simba kashinda 2 sio 3 kwa hio hana haja ya kupigwa ban
Alisema goli 3 sasa mpaka sasa sijaona goli 3
Fanyia Kazi mkuuUsijali, tutalifanyia kazi mkuu
Soma title vizuri...
WASHAMBAAAAANimeshangaa mods kutokujua option za mpira wa miguu..