Leo tarehe 09.04.2025 Simba akimfunga Al Masry goli 3 Mods naomba nipigwe ban Miaka Mitatu

Wapi kasema Simba akifunga goli tatu tu.? Alisema simba akifuzu kwa namna yoyote ile apigwe Ban
Kasema Simba akishinda goli 3 sasa ban ya nini kwani Simba kashinda 3 au mnaleta ushabiki wa ajabu Payge mfungulieni huyu acheni mambo zenu za uonevu Simba kashinda 3 wapi? Maxence Melo angalia vijana wako wanachokifanya huku
 
Kashinda sita hapo vipi?
 
Kwa heri ya kuonana hadi April 2028. Mods hakikisheni hapiti tena huku hata kwa majina ya bandia,
 
Alisema Simba akifunga Goli tatu ndio apigwe ban, Simba wamefunga 2
Huyu jamaa ni kama vile ameonewa. Yeye alisema kuanzia ushindi wa magoli matatu! Na simba ndani ya fakika 90 ilipata ushindi wa magoli mawili pekee. Kwa hiyo hakustahili kupigwa BAN!

Kuweni fair. Angekuwa hajaweka categories zake, mngekuwa sahihi.
 
Active haya maelezo yapo wazi kabisa. Simba imepata ushindi wa goli mbili, na mechi imeamuliwa kwa matuta! Acheni uonevu.

Watu tupo jamii forums just for fun! Therefore fon't take each and everything in a serious way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…