Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani

FATHER KITIMA
Aibu yake kwa %100
Niyeye kamleta Lissu Chadema kafanya mipango ili Lissu awe Mwenyekiti Chadema

Leo Chadema
Pamoja na Viongozi wote walioenda kutoaa Ushahidi wameapa kwa jina la YESU 👈

Lkn wote Wametoa Ushahidi wa Uwongo mbele ya Viapo vyao

FATHER KITIMA

Ulitaka Watanzania wote Waungane kupinga Uchaguzi wa 2025

Lkn kweli FATHER Kitima ndio lengo lako TANZANIA kuongozwa
na kina Tundu Lissu nk‼️

Sio Raisi Dk Samia Suluhu
Hassan ‼️‼️‼️

Kweli kwenye Wazalendo nawewe unaweza kujitokeza kweli❗️

Kiasi wewe uweze kumshauri Rais Dk Samia Suluhu Hassan nini cha kufanya kuusu nchi hii ❗️

Bado unajiona unayo hadhi kutoa neno la Ushauri kwa Serikali hii ya sasa‼️‼️

Ungekuwa muungwana baada kushindwa njama zako
Ungejikalia kimyaa kwa
Aibu tu 🤔🤔

badala ya kujionesha mbele ya Watanzania wenye kujua
ABC zako zote
Kwamba ulikuwa na lengo baya sana kwa Taifa ili 😭😭

Kama matukio yale yangefanikiwa hii leo TANZANIA ingepukutika kama majani ya Miti😭😭😭

Aibu yako leo hii Watanzania kuwa wamoja kama tulivo kabla ya Mo29

Ungekuwa umeumbwa na aibu japo kidogo tusingekuona tena kwenye kutafuta fursa ya kumuona Rais Dk Samia Suluhu Hassan ‼️‼️

Badala kumwambia yeye Rais Dk Samia kuomba radhi ❌️

Watanzania wangependezwa na wewe kuwaomba Msamaha japo kutuaminisha kuwa unajutia kwa Yale yametokea ✅️

Huungwana ni vitendo kwako mm naamini ungeomba Msamaha wewe na wenzio tunaowajua Taifa lingeungana zaidi 👈

kuliko kuomba Msamaha mwengine yoyote

kukiri kwako %100 kungeponya Taifa letu
kwa pamoja

yumkin nawewe ungepata Amani kuu ya nafsi yako🤝

Sisi wengine tungekueshimu sana kwa kitendo chako kuonyesha kuipenda nchi yako zaidi
badala ya utashi wako
wa mwanzo ✍️
 
Sasa haya maswali ya jezi za arsenal kwa makamu, yanahusiana nini na shauri la lissu lililoko mahakamani?

Agenda zao feki zimefeli kwa kutumia machawa wao sasa wanazipitishia maharani ili kumvuruga shahidi

Watafeli tu!
 

Uyu Heche tunae mpaka Jumatano au Alhamisi kabisa bado kuna mengi ajasema ✍️
 
Lissu: Muda, Waheshimiwa Majaji. Shahidi wangu amechoka, anahitaji break.

Jaji Ndunguru: Shahidi, hajisema kama amechoka.

Lissu: Mimi mwenyewe nimechoka. We all need a break.

Lengo la Lissu Heche aseme sijui
Ndiomana kaingia kati kati

Kwasababu ukisema SIJUI
Unampa nafasi yeye Lissu baadae kuja kukufanyia Dodoso na kuliweka jibu vile yeye Lissu anataka❗️

Lkn ukijibu tayali ndio
Yeye Lissu Hatoweza tena kufanya Dodoso kwenye ilo swali kulitoa kwenye ndio ❗️

kulipeleka kwengine ni ngumu na Katuga na wenzie
wapo Macho pale✍️
 
 
Huyo aliyejitolea Manyanda sijui alijipa hatimiliki ya kuripoti hapa kiasi ilikuwa akianza mwingine anamaindi
Mkuu hata mtu kuleta taarifa pia inakuuma?
Yeye alichokuwa anamind ni nyuzi kupandiana sio mtu mwingine kuleta uzi.
Nyinyi wanadamu mbona hamnaga jema!!
 
Hizi sasa ndo zinaitwaga POROJO
Kwamba kitima ndo aliongeza kura mpaka lissu akamshinda mbowe au alifanyaje fanyaje?
Kwamba kitima alitaka watanzania wapinge matokeo ya 2025?
 
Nipe kwanza muhtasari wa yaliyojiri huko Daslam.
Ndio maana sijakuona 😅 Habari za huko, usiku au asubuhi?

Kwa kifupi nikutoe wasiwasi, Makamu mwenyekiti hajarusha ngumi kwa hasira za kikurya kama mlivyokuwa na wasiwasi, he was very well composed and competent.

Katuga alikuwa na maswali mengi mengine yana mantiki mengine lengo lilikuwa kumuondolea makamu mwenyekiti credibility yake kama shahidi, tuhuma zote za mtandao katuga leo amepita nazo kama upepo, so far so good… kesho tunaendelea na cross examination.

Zawadi yangu….
 
Ile safari yenyeweyenyewe bado, hizi za ndani si hazina ishu?

Ahsante kwa habari kwa ufupi.
Kwenye zile siku 14 zilizotolewa kesi iishe, zimesalia ngapi?
 
Ile safari yenyewetenyewe bado, hizi za ndani si hazina ishu?

Ahsante kwa habari kwa ufupi.
Kwenye zile siku 14 zilizotolewa kesi iishe, zimesalia ngapi?
I’m not good at tracking, siku zangu zenyewe zile huwa nasahau.

Jokes aside… nadhani zimebaki wiki moja.. impossible kumaliza labda kama jaji ana uhakika wale wengine hawatatokea.

Sasa nini kimekuweka busy huku ndani? sijakuona toka juzi
 
Huu mbano aliobanwa Heche sio wa nchi hii, ni kama walimkamia yeye tu. Kweli mahakamani sio kwa "mama yako" aisee!!!
Heche alivyomzuri kwenye kujenga hoja na kupangua hoja Leo kawa kama piritoni?
 

Sasa una track siku za nini?
Anyway acha tusubirie hukumu.

Nipo ila mara moja moja, nimekuja tena kwenye baridi.

Hii kesi iishe tu, watu waendelee na mambo mengine.

Wakiweza, waimalize kabla ya 29 October.
 
Mkuu ungeweza kutetea hiki unachotaka kutetea bila kuitaja Marekani, kwenye suala la utendaji wa mahakama, Marekani na Tanzania ni vitu Viwilli tofauti kabisa.
Ni sawa ni mazingira tofauti lakini linapokuja hatua za mahakama ni zilezile. Nimetumia Marekani kwa sababu pamoja na kwamba ushahidi kwa sehemu kubwa unaonesha mama aliua watoto wake watatu lakini majaji wameshindwa kufikia muafaka. Hata hivyo hata huko Marekani kuna muda haki haitendeki, mtu ameua watoto watatu lakini wameshindwa kumtia hatiani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…