Leo tarehe 15 August Wakristo Wanaadhimisha Sikukuu Ya Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria

Kwa hiyo bikira Maria alimpozaa Yesu hakuendele kufanya tendo la ndoa na Yosefu na hakuzaa watoto wengine?
 
Indeed, We created man from sounding clay moulded from black mud.

Suratul Hijr 26. Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura.
Huko ni kujikweza wewe,Kama mangi anavyoandika 'tunauza urembo wakati duka lake peke yake na anauza peke yake'..hiyo lugha kwenye kiingereza ipo pia, waisrael kiutamaduni wao Binti akiwa chini ya miaka 13 wanahesabu(almah) bikira,lakini wewe usiyejua kiebrania unatafsiri tu bikira,unatafsiri wingi,hujui lugha asili walimaanisha nini,ndiyo maana wayahudi hawamkubali yesu wanamuita mtoto wa zinaa
 
Leta andiko
 
Kwa hiyo bikira Maria alimpozaa Yesu hakuendele kufanya tendo la ndoa na Yosefu na hakuzaa watoto wengine?
Ndiyo, hilo suala liliandikwa kwenye vilivyohifadhiwa kama Mapokea siyo kama Neno la Mungu. Mimi nilibahatika kuvisoma, na hapa naandika siyo kukufundisha bali kukuondolea dukuduku juu ya ubikra wa Maria.
Wakati Maria anajifungua mama mmoja alienda kimsaidia, alichokiona hakuamini macho yake, akamuita mama mwenzie. Yule mama kwa umbea wake akaamua kuweka vidole kwenye njia ya uzazi kuthibitisha kama kweli njia imejifunga, alioweka tu mkono aliunguzwa kwa moto mkali sana na kupiga mayowe, ndipo Maria akamshika mkono akampoza. Tokea hapo habari zikaenea kuwa Maria kawa bikra tena, hata Yosefu hakuwahi kumsogolea labda sababu ya uzee na pia sababu ya keheshimu mambo ya Mungu. Ni habari zinaongelea mambo ya aibu ya watu wakubwa hazikuwekwa kwenye maandiko matakatifu, lakini zimehifadhiwa kuelewa kweli za Mungu.
Sasa kanisa likafundisha kuwa Maria ni Bikra daima, alikuwa Bikra kabla, wakati anamzaa Yesu na pia aliendelea kuwa bikra baada ya kujifungua hadi mauti ilipomkuta.
 
Ujanijibu swala la msingi je Yosefu hukuzaa naye au hakuishi kama mke na mume
 
Kama Maria Anatajwa na vitabu vyote vya dini..wewe ni Nani upinge
 
ukatoliki ni mchanganyiko wa upagani wa dola ya Rumi na uKristo kidogo. kuna upagani na UDANGANYIFU mwingi sana ukatolikini. (watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa) ukatoliki unaangamiza wengi sana. Vatican ndiko kuliko na kiti cha enzi cha shetani (Ufu 2:13).

kwa mfano, katika Biblia yote hakuna sehemu yenye kuonesha kuwa Mariamu mama yake Yesu, kwamba alipalizwa. huyu mama alikufa na akazikwa kama watu wengine.


NJIONI KWA YESU MUOKOLEWE
 
Rubbish
 
Theotokos, Vigo Fidelis..ora pro nobis!!
 
Mbona kwenye hivyo vifungu vya Biblia havijaeleza kuwa Maria alipalizwa mbinguni. Hayo umeyatoa wapi?
 
Nipe ufafanuzi hapo
Kuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura. "
Allah alikuwa na nani hapo au alikosea kuandika? 😁😁😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…