Leo tarehe 15 August Wakristo Wanaadhimisha Sikukuu Ya Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria

Nipe ufafanuzi hapo
Kuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura. "
Allah alikuwa na nani hapo au alikosea kuandika? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe mbona unataka kuhamisha mada hapa hatujadili waislamu au kruani yao, na wanyewe wakati wao ukipatkana tuta wahoji.
 
Thesis, Martin luther yote hayo ni maoni ya wanadamu, I would invest on the Bible
Soma kwanza historia ya Biblia
Usome ukristo wa mwanzo pale
Njoo hadi mwaka around 38-41 wakati Sauli anaongoka
 
Wewe mbona unataka kuhamisha mada hapa hatujadili waislamu au kruani yao, na wanyewe wakati wao ukipatkana tuta wahoji.

Waislamu hawawezi jibu swali hili : Quran 15 :26 "Trinity" 😁😁😁😁​

 

Waislamu hawawezi jibu swali hili : Quran 15 :26 "Trinity" [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]​

Acha upuuzi hatuko katika uzi wa waislamu mbona unachanganya mambo hilo lina uhusiano gani na mada ya mleta uzi, wewe kama kuna jambo wataka anzisha uzi tutachangia tu, sio kuharibu uzi wa mwenzio
 
Nimepita kanisa moja maeneo flani mida ya saa 12 na dakika 40 jioni nimekuta wanasali.
 
Naomba mstari wowte wa Biblia unaosema Mariamu alipalizwa mbinguni.
 
Ili tabiriwa wapi ,Katika Biblia kuwa Maria atakufa na KUFUFUKA ????

Maana vyote ,alivyofanya yesu vilitabiriwa kufa na KUFUFUKA ,kama

Ushahidi ulio na pande mbili ,

Ushahidi wa Agano la kale= inaeleza kufa na KUFUFUKA Kwa Yesu.

Ushahidi wa Agano jipya = inaeleza kufa na KUFUFUKA Kwa Yesu,

Andika Ushahidi wa Maria Ulio Katika Agano la kale na Agano jipya,

Maana ,pasipo mashahidi wawili
Agano la kale na
Agano jipya


Jambo Hilo ,haliwezi kupokelewa

MOYO WA IMANI NI ULE ULIO JIELEKEZA KUAMINI NA KUPOKEA ,KATIKA KILA KILICHO ANDIKWA KIMAANDIKO ,NA SIO NJE YA MAANDIKO.

.)
 
Alaa kumbe Maria alipalizwa ndio nimejua leo
Nakunongo'oneza tu kwa siri hizi ni hadithi za kuungaunga.
 
Acha uongo,

Ufunuo 12 :5 Mwanamke akazaa mtoto mwanamume, na mtoto huyo akanyakuliwa Mbinguni.

(Ufunuo 12:6)

Mwanamke akakimbilia Nyikani Mahali palipowekwa tayari kumficha.


Wapi imeandikwa bikra maria alinyakuliwa Mbinguni?
 
(Ufunuo 12:5-6)

Imeandikwa wazi kuwa, mtoto mwanamume ndiye alinyakuliwa Mbinguni( Yesu)

Mwanamke( Kanisa) akakimbilia Nyikani kufichwa Hadi siku zitimie.

Hakuna Mahali imeandikwa Maria amenyakuliwa Mbinguni.
 
Imeandikwa wapi ewe mwana wa kuasi kuwa Maria alipaa Mbinguni?
 
(Ufunuo 12:5-6)

Imeandikwa wazi kuwa, mtoto mwanamume ndiye alinyakuliwa Mbinguni( Yesu)

Mwanamke( Kanisa) akakimbilia Nyikani kufichwa Hadi siku zitimie.

Hakuna Mahali imeandikwa Maria amenyakuliwa Mbinguni.
Shida ya Hawa jamaa ,

Wamekubali kutolewa kwenye MSINGI ,

wakindani ndio Imani inavyotaka hivyo,

Yaani wao ni kupokea tu kupokea tu, hata kisichokuwa kwenye andiko watapokea tu,

Na ndivyo wadhaniavyo kuwa ,mtu wa Imani anavyotakiwa kuwa

MOYO WA IMANI NI ULE ULIO JIELEKEZA KUAMINI NA KUPOKEA ,KATIKA KILA KILICHO ANDIKWA KIMAANDIKO ,NA SIO NJE YA MAANDIKO.
 
Maria si bikra maana baada ya kumzaa Yesu, aliendelea na mumewe Yusufu na walipata watoto.
Maria alikuwa mwanadamu wa kawaida alikufa na kuzikwa na anasubiri ufufuo wa mwisho, stori za kupalizwa ni uongo ambao hauna andiko lolote.
 
MTAKATIFU Badala ya kusoma BIBLIA,wao wanakubali kusomewa vitabu vya kipagani.

Warumi waabudu miungu, wamefanikiwa kumuingiza miungu mke Ili aabudiwe Kwa kificho Kwa Jina la Mariamu.

Na Sasa Pope ameshajitambulisha Cheo chake Cha kificho Cha mpinga kristo, Kwa kuhalalisha USHOGA madhabahuni, imebaki kwao kuamua kuondoka au kubaki gizani.
 
Mariamu siyo kiunganishi baina yetu na Mungu
 
Ubaya na uzuri Mungu hana hasira za karibu , angeshawamaliza kwa dhihaka ila ameacha tu.

hizi elimu dunia wanajisifia kuwa na digrii saba hazina uhusiano wowote na kumjua Mungu.
Mungu hafahamiki kwa elimu ya darasani.
ETI,
Baba na Mama ,na mtoto wao Wa kiungu yaani yesu Yuko juu pamoja na Baba ake na Mama ake WA kiungu eti ndio maria,

Na
Ndie Maria wanaye muhita fumbo la Roho mtakatifu ,na ndio wamekomaa Huyo maria ambae kwao ndio Roho mtakatifu awaombe huko mbinguni ,
Kwa kuugua na uchungu mwingi

Mungu eti mke wake maria ,
Kwa mantiki hio teari wamemfanya akili I mwao maria ni Mungu mke,(mke WA Mungu ).
Bila hata aibu ,kwasababu ni mke nae kapaa kwenda juu, bila macho ya haya Wala haibu hawaoni,waliopanda kitu icho Kwa watu watapata adhabu kubwa mno


ETI maria ndio Mama huko juu mbinguni,
Mama Mungu juu mbinguni ndio maria ,
 
Yesu alipofufuka pazia la hekalu lilipasuka.
Tangu hapo sasa wanadamu waliokuw wamungwanisha na Mungu kupitia manabii ikawa wanaweza kuomba moja kwa moaj kwa Mungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…