KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Kwa kweli inachoshaSpurs ashinde. Sipendi dominance ya timu moja kwa muda mrefu.
Inapunguza msisimko wa ligi. Hili kombe mwaka huu abebe Arsenal.
Japo kelele zitakuwa nyingi mtaani lakini walau City apunguzwe speed.
NIKO PALE KWA MASAWE WAKALAAAAAMzuka Wanajamvi!
Itakuwa bonge la Mechi. Ngumu kwa shabiki wa mpira kukosa kuangalia na kufuatilia.
Hii mechi ya ligi kuu uingereza ni ya kusisimua ni Tottenham Hotspur vs Mancity ambayo unataka kutwaa ubingwa mara sita mfululizo kwa kushinda mechi zake mbili zilizosalia.
Kwa upande wangu Tottenham itashinda hii mechi ukizingatia nayo inapigana k7cheza UEFA Champions league.
Kama Tottenham itashinda usiku huu basi itaifungulia njia Arsenal kuutwaa ubingwa unapo itaishinda Everton mechi yao ya mwisho jumapili.
Mashabiki wa Arsenal najuwa wanaomba sana Tottenham ishinde.
Senior JF local and international sports analyst and correspondent and a London based Chatham house Think-tank.
mark my words mkuu hizo gem za muda mmoja ni hatari sana.Mkuu Westham Hana uwezo hata wa kutoa sare na City.
Hiyo mechi City atashinda na magoli zaidi ya 4.
Nimekaa pale 👉
Mkuu unaonekana hufuatilii mpira vizuri.Hivi unaamini kbsa yule mnyonge Westham anaweza kuichallenge city katika Etihad.mark my words mkuu hizo gem za muda mmoja ni hatari sana.
Westham ni mnyonge?Mkuu unaonekana hufuatilii mpira vizuri.Hivi unaamini kbsa yule mnyonge Westham anaweza kuichallenge city katika Etihad.
Hakuna mechi rahisi kwa City kushinda Kama ile ya Westham.
Mkuu unaweza kuniambia Ni lini Mara ya mwisho City alipoteza mechi ya Premier ugani Etihad?Westham ni mnyonge?
Ngoja uone wagonga nyundo watakavyofanya maajabu, hii mechi ya leo city anachukua point 3 mapema kabisa.
November 12, 2022 ni msimu uliopita vs brentfordMkuu unaweza kuniambia Ni lini Mara ya mwisho City alipoteza mechi ya Premier ugani Etihad?
Bora unisaidie, yaani Man city tufungwe na Tottenham leo? Ardhini na mawinguni katuuuuuu...!,🤸Tatizo huwa mnatabiri huku mkiwa mmeweka mapenzi ya timu zenu mbele...
etihad pale kushika bomba n kwa ajili ya timu chache tu huyo westiham naona ataenda kula kono la nyani aiseeee 😂Gemu ya kumnyima city ubingwa ni ya mwisho dhidi ya WHU
Nna imani na westham kuliko totenhametihad pale kushika bomba n kwa ajili ya timu chache tu huyo westiham naona ataenda kula kono la nyani aiseeee 😂
Sasa sijui kilichomchekesha adriz hapo ni nini? 😡😡😡😡The Stress Challengerr kwenye ubora wako
Siku ile ulisema hivihivi matokeo yake tukamkanda mtu 4 Mfwiiiiiiiiiiiii
Man city Bingwa..!🤸
nifa eeee usije kuponzwa na asenali ohoooooYani hadi naogopa kuangalia hiyo mechi, I hate the feeling of disappointment.
enewei......ni sahihiNna imani na westham kuliko totenham
Hiyo mechi City hawakuwa na presha yoyote coz tayari walikuwa wameshatwaa ubingwa.Bt this time Ni lazima washinde mechi zote zilizobaki I'll watwae ubingwaNovember 12, 2022 ni msimu uliopita vs brentford
Nimecheka sana Mkuu, lols.nifa eeee usije kuponzwa na asenali ohooooo
Spurs wamejifia hawawezi kuwafunga Man City wawape nyie ubingwa wa mezani. Mtasubiri sana kutwaa ubingwa wa EPL hadi mtakapoamua kufanya mageuzi makubwa ndani ya timu yenu ya Arsenal kwa kuacha kuwategemea wavulana na kusajili wachezaji wakubwa wenye ari ya kupambana na wenye njaa ya makombe.Mzuka Wanajamvi!