Leo Tottenham kumpokonya Man City Ubingwa

Mzuka Wanajamvi!

Itakuwa bonge la Mechi. Ngumu kwa shabiki wa mpira kukosa kuangalia na kufuatilia.

Hii mechi ya ligi kuu uingereza ni ya kusisimua ni Tottenham Hotspur vs Mancity ambayo unataka kutwaa ubingwa mara sita mfululizo kwa kushinda mechi zake mbili zilizosalia.

Kwa upande wangu Tottenham itashinda hii mechi ukizingatia nayo inapigana k7cheza UEFA Champions league.

Kama Tottenham itashinda usiku huu basi itaifungulia njia Arsenal kuutwaa ubingwa unapo itaishinda Everton mechi yao ya mwisho jumapili.

Mashabiki wa Arsenal najuwa wanaomba sana Tottenham ishinde.

Senior JF local and international sports analyst and correspondent and a London based Chatham house Think-tank.
NIKO PALE KWA MASAWE WAKALAAAAA

MAN CITY ANASHINDA NA MAGOLI MAWILI NK .. FOBEN
HALAND NA BEKI MMOJA KATIYAO WATASHINDA...
 
Mzuka Wanajamvi!

Itakuwa bonge la Mechi. Ngumu kwa shabiki wa mpira kukosa kuangalia na kufuatilia.

Hii mechi ya ligi kuu uingereza ni ya kusisimua ni Tottenham Hotspur vs Mancity ambayo unataka kutwaa ubingwa mara sita mfululizo kwa kushinda mechi zake mbili zilizosalia.

Kwa upande wangu Tottenham itashinda hii mechi ukizingatia nayo inapigana k7cheza UEFA Champions league.

Kama Tottenham itashinda usiku huu basi itaifungulia njia Arsenal kuutwaa ubingwa unapo itaishinda Everton mechi yao ya mwisho jumapili.

Mashabiki wa Arsenal najuwa wanaomba sana Tottenham ishinde.

Senior JF local and international sports analyst and correspondent and a London based Chatham house Think-tank.
Spurs wamejifia hawawezi kuwafunga Man City wawape nyie ubingwa wa mezani. Mtasubiri sana kutwaa ubingwa wa EPL hadi mtakapoamua kufanya mageuzi makubwa ndani ya timu yenu ya Arsenal kwa kuacha kuwategemea wavulana na kusajili wachezaji wakubwa wenye ari ya kupambana na wenye njaa ya makombe.
 
City alitangaza ubigwa kwenye mechi kati Ya Arsenal na Astovilla tusipende kufarijiana Uyu Spurs kachoka sana hana timu ya kumzuia City
 
Back
Top Bottom