Hahaha acha kabisa mkuu ulikuwa unajirekodia kitu kinatoka safi kabisaKipindi cha bongfleva kulikuwa kinaitwa show time, ah mimi na Kanda zangu na radio cassate ni kurekodi music , najifungia gheto nachana mistari na nakumbuka demu wangu yule wa kutoka mbeya anatoroka ijumaa iringa girls anakuja maskani namfungia hapo chumbani dingi si maza hawajui
Yeah Zuberi Musabaha (RIP)Kuna yule alikuwa anatafsiri nyimbo za kicongo
Nimemsahau jina,
Dah! Zamani sana, 1998
Sad news 😢Yeah Zuberi Musabaha (RIP)
Ndio huyo, RIPSio somebody Musabaha au nimekosea alikuwa kama Mkongo hivi
ZM, Zuberi MusabahaKuna yule alikuwa anatafsiri nyimbo za kicongo
Nimemsahau jina,
Dah! Zamani sana, 1998
Uzee huu acha tuHahaha acha kabisa mkuu ulikuwa unajirekodia kitu kinatoka safi kabisa
Ni jumapili.kama kawaida kuanzia saa nne na dakika kumi asubuhiSintosahau nadhani ilikuwa Kila jumamosi, Kuna jamaa wa kuzamia south Africa story zao zilikuwa zinatisha sana na mastory mengine mengi kabisa
DWYeah Deo Kaji Makomba na ongea yake ile yakipekee sijui huyu jamaa yupo wapi nowadays, alikuwa anapenda kupiga para flan hivii