Leo tukumbushane vipindi vya RFA na watangazaji wote miaka hiyo kuanzia 2005 pamoja na watangazaji wa vipindi

Mpaka leo hii radio yangu namba 1 ni RFA siwezi kujiskia vizuri ipite siku sijamsikia Rebeka Mulesi aiseeee ntaugua homa kali ya mafua.
Haujaiachaa sababu ya contents zake nyingi kubadilishwa
 
Yeah Yani nikamemory flan hivii kipindi unajitafita Yani Kuna muda mtu unakumbuka unaona daaah haya mambo hayaa
 
Mpaka sasa RFA Ina vipindi vizuri sana wanajitahidi sana japo vingine wamevitoa kama kipindi cha nyimbo za kihindi ikibidi wakirudishe bana.
Wameweka Nini badala ya nyimbo za kihindi?
 

Hatari sana :-

Mambo Mambo ehee sasaaaa
Je huu ni Uungwana? Wambura Mtani rudi aisee kipindi kinaboa sasa.
Sintosahau - Magasha
Hakuna Kulala - Faustine Stephano
Magazeti -06:30 -07:00

Kuna Pisi moja sijui iko wapi siku hiz JOAN ITANISA.
 
GTORY ROBINSON RFA
 

Attachments

  • IMG-20240910-WA0049.jpg
    63.8 KB · Views: 7
Namkumbuka Lazaro Matarange huyu jamaa katika kila kipindi ilikuwa lazima apige wimbo wa Eminem "cleaning out My closet"
 
Baadhi ya WATANGAZAJI namuona Fredrick Bundala a.k.a Sky na Fredwaa hao wengine sijawajua
 

Attachments

  • IMG-20240910-WA0050.jpg
    50.2 KB · Views: 8
GRORY ROBSON NA KIDBWAY walikiwasha sana kwenye Showtime
 

Attachments

  • IMG-20240910-WA0051.jpg
    77.3 KB · Views: 7
Namkumbuka Lazaro Matarange huyu jamaa katika kila kipindi ilikuwa lazima apige wimbo wa Eminem "cleaning out My closet"
Yeah sure nimekumbuka mkuu na alikuwa anaupenda sana huu wimbo Matarange
 
Hatari sana :-

Mambo Mabo ehee sasaaaa
Je huu ni Uungwana? Wambura Mtani rudi aisee kipindi kinaboa sasa.
Sintosahau - Magasha
Hakuna Kulala - Faustine Stephano
Magazeti -06:30 -07:00

Kuna Pisi moja sijui iko wapi siku hiz JOAN ITANISA.
Daaaaaah umenikumbusha Joan Itanisa alikuwa pisi Kali mnooo aiseee sijui yupo wapi huyu dada
 
Hatari sana :-

Mambo Mambo ehee sasaaaa
Je huu ni Uungwana? Wambura Mtani rudi aisee kipindi kinaboa sasa.
Sintosahau - Magasha
Hakuna Kulala - Faustine Stephano
Magazeti -06:30 -07:00

Kuna Pisi moja sijui iko wapi siku hiz JOAN ITANISA.
Mkuu nadhani Joan Itanisa ni huyu
 

Attachments

  • IMG-20240910-WA0052.jpg
    17.3 KB · Views: 7
Gabriel Zakaria
Raymond Nyamwihula
Ivona Kamuntu
Nevil Meena
Sam Kiama
Roy Mlaliki Maganga
Prince Baina Kamukulu
Fatma Shemweta
Joan Tanisa
Grory Robson
Rahab Freddy
Mkamiti Juma
Hassan Mvula
Hamis Dambaya
Doy Kududye
Fred Fidelis (KIDBWAY)
Jumaa Baragaza
Jacob Sungu
Baruan Muhuza
Zuberi Musabaha
Deo Kaji Makomba
Stella Situmbi
Beatrice Labach
 
Mkuu kwanza hongera sana unakumbuka mambo mengi sana kwenye VIPINDI VYA RFA kongole kwako aisee vipindi vilikuwa 🔥 🔥 sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…